Various Artists – Zinduka Lyrics

Chorus (Lenny)
aiyaiya
mambo sasa ni poa
aiyaiya
sasa wewe zinduka
aiyaiya
mambo sasa ni poa
poa, poa
sasa wewe zinduka

Verse 1
(Wyre)

when me take a look around every day me
realise what a change in mi life and
never think about negativity 
in me life
only think about positivity
in me life
di gal and di boy
wan fi shout it out
everyday
imagine a life with no complications
again
so truly and truly
everybody wan fi save press
if you feel what mi say throw your hand up to this

You know it
you show it 
wee zinduka
You know it
you show it 
wee zinduka

Chorus (Lenny)
aiyaiya
mambo sasa ni poa
aiyaiya
sasa wewe zinduka
aiyaiya
mambo sasa ni poa
poa, poa
sasa wewe zinduka

Verse 2 (Jua Cali)
nimejaajaa na naskia ka niko fiti sana
mipango zangu zina-happen vile nataka
fikira zimepungua ni kucheka tu
shida zinapungua ni kujijenga tu
pewa ngiri hakuna kuumia hapa
cheka zaidi hakuna kulia hapa
Jua ni kali baridi imeenda
watu wangu wa nguvu nao wanapenya
kimaisha kikazi na biashara
inafanya nachangamka vibaya
nimeamka na nashukuru sana
hii time yote kuwa pamoja na nyinyi
siwezi kuwaangusha tembea na mimi
tukifika chali yangu nitakushtua
nishike nywele boss umechanuka
uko karibu place ile inaitwa zinduka

Chorus (Lenny)
aiyaiya
mambo sasa ni poa
aiyaiya
sasa wewe zinduka
aiyaiya
mambo sasa ni poa
poa, poa
sasa wewe zinduka

Verse 3
(Ratatat)

nilikuwa nateseka 
kila saa ni kusota
lakini naishi poa
pesa naokota
show za ngoma nilipata mara moja kwa mwezi
napata show kibao zingine siezi
wasee mtaani hawajui vile nahisi
mambo iko poa Mungu ashanibariki
katika na mimi
nishazinduka
inuka ka mambo iko poa wee zinduka

(Lenny)
naona watu wengi nikiwa kwenye jukwaa
nasimama imara nauliza kama
je mko poa
je mko poa

(Wyre)

kama uko poa throw your hands inna di air say(hey)
throw your hands inna di air
kama uko poa throw your hands inna di air say(hey)
throw your hands inna di air
kama uko poa throw your hands inna di air say(hey)
throw your hands inna di air
kama uko poa throw your hands inna di air say(hey)
throw your hands inna di air

You cannot copy content of this page