Ukoo Flani Mau Mau – Fanya Tena Lyrics

Verse 1 (Juliani)
ukijiseti ndani ya blanketi
unang’orota unaota ukiliosha ukiamka
vice versa
m-TZ atasema ni bomba
juu boomba
ndio jibu ya bubu
niki-bust verse
mziki siku hizi computer fruity loops
ati producer wee inuks
u-whack umezoea
ukikimbiza snare unapotea
mgeni anasaidia ma-pro ki-flow
maji kwa choo ndio ilivyo
maMC na ku-flush
ingia humu hakuna ma-cash
badala ya pedal pusher
ni maternity za thamati hizi ni za kati
mpenyo ndani ya skirti
msichana sasa mama
nashika tama mawazo ninazo
sikutumia condom nikitwado something
saa hii najifunza kufunga napkin
siezi
ingia ring na K-Shaka
ilana kijana kukunja ngumi baba
kwa macho yangu mi napaa
skill bomba
au sivyo mjomba?

Chorus 
ka tunaeza ifanya tutaifanya tena na ka
tulisema siezi rudia tena na ka
umenielewa hakuna time ya kucheza na ka
umenielewa sina time ya kupoteza

ka tunaeza ifanya tutaifanya tena na ka
tulisema siezi rudia tena na ka
umenielewa hakuna time ya kucheza na ka
umenielewa sina time ya kupoteza

Verse 2 (Johnny Boy)
paraphinelia zikiwa
jani safari na ducati chini akilini ndani mistari
nina-excersise utadhani ni bakari toka pwani
ni duniani ndio nyumbani au mchangani
hii ni knock, kwa urban doors
opportunity tumekam ku-exploit
presented to us
either by light or dark
in this lust for cash
where you live and how you think entertwined
explain, how we breed evil in the society
so when I’m 
accelerating every activity the brain is thinking
please don’t mistake me
don’t judge me
get off me!

Chorus 
ka tunaeza ifanya tutaifanya tena na ka
tulisema siezi rudia tena na ka
umenielewa hakuna time ya kucheza na ka
umenielewa sina time ya kupoteza

ka tunaeza ifanya tutaifanya tena na ka
tulisema siezi rudia tena na ka
umenielewa hakuna time ya kucheza na ka
umenielewa sina time ya kupoteza

Verse 3 (Kitu Sewer)
wee si jambazi
wee ni shabik
kuambia marafiki zako mi ni mnafik
keep off
macho zako kwa biashara zangu kama kipof
ingekuwa ni jeshi yangu wangepewa tip off
wangetoka usiku wa manane na mawolipo
wakuhangaishe warudie malipo
na ka wangepewa wangekukuta ukidoze
naleta joto kwa nyumba inabidi utoke uki-nose bleed
popote ntajiskia ntachomea
twapiga yote ya kuongea
na-slap makafiri na smile ya ngiri
hakuna type ya siri unaeza tuficha tumekuwekea wire kwa mwili
nikiendelea ku-puff zaidi
umekwama na mimi ndani ya hizi mashairi

Chorus 
ka tunaeza ifanya tutaifanya tena na ka
tulisema siezi rudia tena na ka
umenielewa hakuna time ya kucheza na ka
umenielewa sina time ya kupoteza

ka tunaeza ifanya tutaifanya tena na ka
tulisema siezi rudia tena na ka
umenielewa hakuna time ya kucheza na ka
umenielewa sina time ya kupoteza

Verse 4 (Agano)
ni hard kuni-get
katikati ya concrete jungle
mi ni camouflage Dando
huwezi ni-get gauge nime-struggle
before ni-split
na hii deep technique
na hii snare na-kick blue jeans na ndula za tick
Parkie ka PG three boundary blow
wee ndio revolutionary live long
na je mdo-do-do
makinika na flow hardcore Dando Mau Mau

You cannot copy content of this page