Ukoo Flani Mau Mau – D.C Lyrics

Chorus
hii beat na hii s___
zinashikana kama DC na sisi
na-flip script
na hii beat na hii s___
narudisha vitu mpaka enzi za BC
D phase two clique yangu DC
narudisha vitu mpaka enzi za BC
D phase two clique yangu DC (Mau Mau)
clique yangu DC (Mau Mau)

Verse 1
kuchochea ni pedali mpaka kwa medali
mafunzo ni DC tu kufunza jamii
I say, una-need counselling
rap mbaya kwa ambulance
sa jua D inavo-flip
clique overloaded ka…
ingia sa kwa crib
tukufanyie kwa ma polo ships
naiuza D ku-broke council meetings
rugged ni script
nayo breathe nayo hii kwa MC
hawezi, mwaah
lazwa in peace hapa D mambo si afadhali
na ndio hapa D rapper si tumbo ya promoter
amini mali tupo tu tayari
ku-deal na Dre
ukitu-feel sa say si
tuko Gado, mtaa tu ni Dando
mnato ni Dando
ka ni jambazi amevaa kama gentleman
na squad zaidi ya eleven then
wanaovamia ni upanga mwenyeji

Chorus
hii beat na hii s___
zinashikana kama DC na sisi
na-flip script
na hii beat na hii s___
narudisha vitu mpaka enzi za BC
D phase two clique yangu DC
narudisha vitu mpaka enzi za BC
D phase two clique yangu DC (Mau Mau)
clique yangu DC (Mau Mau)

Verse 2
wanabiashara ma-hustler
Zaka ma-hawker
duka za upoko masoko
wakubwa wafungwa
maradhi daktari tayari na tiba
bamba sindano
mikebe za tembe
harufu za pombe
ugonjwa ka homa, malaria
kuhara, gonohorrea
zaliwa Pumwani
maisha jangwani
ku-grow ku-hustle
vitabu, vilabu
vinywaji kwa maji
nuksi jacuzzi
mandugu machungu
sheria mapingu
vicheko viliyo
runinga redio
ripoti disiti bila council
VCT wa council
ukisili ukimwi
mipira uzazi
fala ushenzi
ujambazi
ndio kazi ya wakazi
wa DC
maMP polisi
maAP na sisi
ndio headline ABC
CNN, BBC

Chorus
hii beat na hii s___
zinashikana kama DC na sisi
na-flip script
na hii beat na hii s___
narudisha vitu mpaka enzi za BC
D phase two clique yangu DC
narudisha vitu mpaka enzi za BC
D phase two clique yangu DC (Mau Mau)
clique yangu DC (Mau Mau)

Verse 3
wenyeji
tunakuja kuchukua monyo
K-Shaka
tunakuja kufungua ndonyo
ka wee ni rapper
tunakuja kukupa onyo
iweke vile inafaa kuwa
ka si hivyo ukae chini na kutambua kamua
ng’ombe vile unajua
juu hakuna kitu mpya chini ya jua
after tua napata kuwa hawa ma-punk wanataka hizi vitu za sewer
zagablo yeah zigizow
zimbri zimbri juu ya pombe zao
hizi ngamia zinacheka nungu ya ng’ombe hao
wakonde hao
wanga wakonde niokote mbao
waliotupa, walio na pupa wasote na ubao
futa ubao
tuanze kutafuta
chapter ya ma-master
copy notes faster
noki flow na hata ka unataka kuwa rapstar
tupa far maringo
juu hapa una-deal na superstar na single yako ina-sound ka jingle inatu-kill inatupa njaa kwa hivyo
usikaribie kifo sana na wee si Evil Kaneival
hauwezi do stunts hauna guts za ku-swim na sharks
elewa DC tunakufanyia

Chorus
hii beat na hii s___
zinashikana kama DC na sisi
na-flip script
na hii beat na hii s___
narudisha vitu mpaka enzi za BC
D phase two clique yangu DC
narudisha vitu mpaka enzi za BC
D phase two clique yangu DC (Mau Mau)
clique yangu DC (Mau Mau)

You cannot copy content of this page