Tyrical ft. Lyrical Erico – Bambika Lyrics

Chorus
bambika bambika na hii ngoma noma
na kwa sababu tumeanza hatutakoma
na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha
na imetoka bombshell bombshell

bambika bambika na hii ngoma noma
na kwa sababu tumeanza hatutakoma
na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha
na imetoka bombshell bombshell

Verse 1 (Tyrical)
bambika shikika halafu wika
na kama ngoma imefika basi katika
bounce to the beat
bounce to the beat
feel this heat
alafu get into your seat
come show kile unacho, fungua macho
ujue bombshell tunayo
we’ve got what it takes
twafanya m-break m-shake
to make your body bump and grind
usi-mind vile watu wanakucheki
hii ni day ya kubleki 
ukisleki
utapata huna chako na wako msako
ni vile wafaa uanze
hebu look vile tumekam na locomotion
music yetu love potion
basi set your wheels on motion
twende kazi
kiwaziwazi bila wasiwasi
twajua si wote twataka a good time bila ma-dime
na twa-believe, believe 
hiyo si crime

Chorus
bambika bambika na hii ngoma noma
na kwa sababu tumeanza hatutakoma
na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha
na imetoka bombshell bombshell

bambika bambika na hii ngoma noma
na kwa sababu tumeanza hatutakoma
na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha
na imetoka bombshell bombshell

Verse 2 (Shanky Radics)
tuna-roll
hebu cheki vile bombshell tuna-roll
di gal dem beg us 
dem beg us
tuna-roll
hebu cheki vile bombshell tuna-roll
di gal dem beg us 
dem beg us
uuh, ni Shanky Radics
nalia baby please hebu nipe hiyo kiss
ni wewe nimechic yaani mambo iko fit
na wewe uko fit na tabia yako fiti
uuh, ni Shanky Radics
nalia baby please hebu nipe hiyo kiss
ni wewe nimechic yaani mambo iko fit
na wewe uko fit na tabia yako fiti

Chorus
bambika bambika na hii ngoma noma
na kwa sababu tumeanza hatutakoma
na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha
na imetoka bombshell bombshell

bambika bambika na hii ngoma noma
na kwa sababu tumeanza hatutakoma
na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha
na imetoka bombshell bombshell

Verse 3 (Lyrical Erico)
ngoma ikikubamba basi send di craze
bombshell this year we are coming to east
wakiskiza tunavyoingiza pesa 
wanabaki wote wanatupima
lyrical
ngoma ikikubamba basi send di craze
bombshell this year we are coming to east
wakiskiza tunavyoingiza pesa 
wanabaki wote wanatupima
hebu katika dada
onyesha vile ngoma sasa inavyobamba
tingisha hizo vitu
washikishe rada
kila siku hapa kwenye hii weekendi yo
hebu katika dada
onyesha vile ngoma sasa inavyobamba
tingisha hizo vitu
washikishe rada
kila siku hapa kwenye hii weekendi yo
kwa jina naitwa lyrical
kila siku ni official
saa yangu ni crucial
wacha ukiwa critical
kama yule Sean Paul
microphoni punctual
yo, shake dat thing, yo
lemme see you wannabes
wanna see you party
kupa vitu kali
tukisaka mali
tukitumia microphoni
tumia microphoni

Chorus
bambika bambika na hii ngoma noma
na kwa sababu tumeanza hatutakoma
na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha
na imetoka bombshell bombshell

bambika bambika na hii ngoma noma
na kwa sababu tumeanza hatutakoma
na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha
na imetoka bombshell bombshell

You cannot copy content of this page