Suzzana Owiyo & Jua Cali – Matatu (Beba Beba) Lyrics

Intro (Suzanna Owiyo)
beba beba, beba beba…

Verse 1 (Jua Cali)
matatu yangu haina route tunaenda njia zote
jaza mafuta tunapitia mtaa zote
watu wangu wa Calif mnaendeleaje?
maisha hii yetu inawapeleka aje?
hiyo ni poa wacha nipitie Kariobangi
usilie jamaa watu watie bidii
beba beba wengi mpaka Kibera
after kushiba tunashikisha
shida zote tunajisahaulisha
baada ya masaa zinaturudia
matatu noma mafuta inaishiwa
tuendeshe remote tukaijazilie
alafu tupitie Oloo leo tukaskizie
tufungue biz ndogo tujisaidie
kimaisha hakuna kungoja
hii maisha hakuna kusota
tutengeneze pesa vile tunaweza
baadaye jamaa, tutapepea

Chorus (Suzanna Owiyo)
beba beba, beba beba…

Verse 2 (Suzanna Owiyo)

Kayole Dandora beba… (beba beba, beba beba)
BuruBuru Umo Huruma beba… (beba beba, beba beba)
beba beba beba… (beba beba, beba beba)
beba beba beba… (beba beba, beba beba)

Outro (Suzanna Owiyo)
ni matatu, gari yangu
gari ya mtaa, naipenda

ni matatu, gari yangu
gari ya mtaa, inabamba

You cannot copy content of this page