Sema – Sakalakata Lyrics


Chorus

sasa sakalakata
shika wako kamata
usi-mind kuangaliwa na watu
tufungue sakafu

sasa sakalakata
shika wako kamata
usi-mind kuangaliwa na watu
tufungue sakafu

Verse 1
sasa basi
dada leo ni weekendi hamna taabu no
kuja nasi
kula pozi pewa ngoma tamu
imba sister wote
ka waskiza sema
the party’s going down
come everybody let’s groove to the sound

Chorus
sasa sakalakata
shika wako kamata
usi-mind kuangaliwa na watu
tufungue sakafu

sasa sakalakata
shika wako kamata
usi-mind kuangaliwa na watu
tufungue sakafu

Verse 2
brother vipi
ukishampata wee usisleki
mwambie rafiki
mambo leo ni kucheza sio kuketi so
nyi machali wote
ka mwaskiza Sema
the DJ’s playing my song
you know that you wanna be part of the jam so come on

Chorus
sasa sakalakata
shika wako kamata
usi-mind kuangaliwa na watu
tufungue sakafu

sasa sakalakata
shika wako kamata
usi-mind kuangaliwa na watu
tufungue sakafu

Verse 3
step to the left and step to the right
shake it all around come and show me the sign
step to the left and step to the right
shake it all around come and show me the sign

step to the left and step to the right
shake it all around come and show me the sign
step to the left and step to the right
shake it all around come and show me the sign

hauskii ni the S to the E the M-A
tume-land kama ndege kwa runway
party all night mpaka the next day
kuja nasi it’s OK
mi sitoki kwa dance floor
leo bila shaka ni kutokwa na jasho
mkicheki Pam, Kev na Sana
jua hii mziki mtapewa tu bana, OK

Chorus
sasa sakalakata
shika wako kamata
usi-mind kuangaliwa na watu
tufungue sakafu

sasa sakalakata
shika wako kamata
usi-mind kuangaliwa na watu
tufungue sakafu

You cannot copy content of this page