Richie Rich Longomba & Habib – Bata Lyrics

Richie Rich Longomba & Habib – Bata Lyrics

Verse 1 (Habib)
kaeza shakie, shakie lako
shakie lako bila mpango
shakie ka umelipwa laki tano
wee tu shakie shakie shakie

kaeza shakie, shakie lako
shakie lako bila mpango
shakie ka umelipwa laki tano
wee tu shakie shakie shakie

kata ma (kata kibata)
ruka ma (ruka kibata)
shakie ma (shakie kibata)
aah, bata!

kata ma (kata kibata)
ruka ma (ruka kibata)
shakie ma (shakie kibata)
aah, bata!

Chorus
hii ni style 
ya kuruka shuka sakata ngoma

hii ni style
hakuna muda usirudi nyuma

jirushe (eeh!)
jirushe (aah!)
bata bata!

jirushe (eeh!)
jirushe (aah!)
faster faster!

Verse 2 (Richie Rich Longomba)


let’s go, wakati umefika
ni kuruka na kukata
hii style ni bata bata
ni kucheza faster faster

let’s go, wakati umefika
ni kuruka na kukata
hii style ni bata bata
ni kucheza faster faster

ni mbele na nyuma
mikono unarusha
alafu unashuka
mdundo ni kukatakata

ni mbele na nyuma
mikono unarusha
alafu unashuka
mdundo ni kukatakata

Chorus
hii ni style 
ya kuruka shuka sakata ngoma

hii ni style
hakuna muda usirudi nyuma

jirushe (eeh!)
jirushe (aah!)
bata bata!

jirushe (eeh!)
jirushe (aah!)
faster faster!

Verse 3
jivute mbele, acha kelele
si, ulitaka mwenyewe
shuka chini, shu-ka
shuka chini, shu-ka

jivute mbele, acha kelele
si, ulitaka mwenyewe
shuka chini, shu-ka
shuka chini, shu-ka

batabata bata bata
batabata
shuka chini

batabata bata bata
batabata
shuka chini

Chorus
hii ni style 
ya kuruka shuka sakata ngoma

hii ni style
hakuna muda usirudi nyuma

jirushe (eeh!)
jirushe (aah!)
bata bata!

jirushe (eeh!)
jirushe (aah!)
faster faster!

You cannot copy content of this page