Rabbit – Staki Kukuona Lyrics

Intro

Unajua
mi napenda story sana lakini
ka si biz au doh
mi naona tu utembe yaani, unajua

Dice Mzeiya,
Kaka Sungura,
Rabbit,
hii ni ingine mzeiya
siunajua…….

Chorus
Kaa si pesa au biashara,
basi tembea
nani! nani tembea

Kaa si ganji au mradi,
basi tembea
nani! nani tembea

Na na staki kukuona
ah aaah Staki kukuona
Na na staki kukuona
ah aaah Staki kukuona

Verse 1
Nimesaka winch wiki yote wakaniita paper chaser
Yaani doh, ganji , mkwanja au pesa
Staki story ndio nimechill mbele ya keja
Udaku ikaletwa, {Dice hajaacha fegi,
Oguyo bado ni pedi, Mp wangu ni Yule utembea na ma vedi}
Oya! Mambo ya Dice mi uongelea kwa beat,
Dome za mtaa pelekea chief, ata kura ifanywe leo
Mp wako simpi tick, nani tembea na na staki kukuona
Kaa si doh maskio yangu haikaribishi udaku
Unabiz ingine?  Tembeza kiatu!
Nataka future lavish ndio niweze kujimudu
Kwa sasa nakaribisha buda Uhuru, Moi ka inaweza
Sana sana ma dolare, Ata P-Unit wanajua Rabbit ni mkare

Chorus
Kaa si pesa au biashara,
basi tembea
nani! nani tembea

Kaa si ganji au mradi,
basi tembea
nani! nani tembea

Na na staki kukuona
ah aaah Staki kukuona
Na na staki kukuona
ah aaah Staki kukuona

Verse 2 
We ni mrembo sana na staki nikuaate
Lakini sina time ya love labda tuplakane
Ile chapaa ninayo sahii hata hainitoshi
Nikikuongeza kwa budget  ntapunguza noti
+ nikupeleke out  + njumu za kisource
+ nikuachie za mfuko +  nguo zile posh
+ taxi za usiku + ile good life of course
Tuseme tu ukweli relationship haiwezi
Wewe + mimi = madeni
So ntakuacha kwa sasa nikatafute peni
Ukiinsist tu sana, mami tembea na na staki kukuona
Nilikuwa na mpango usiingie box yangu
We uliblanda ati ati ulinipenda tangu
Hatuwezi kula mapenzi , rent kila mwezi
Ati i love you , I love you kaa si?

Chorus
Kaa si pesa au biashara,
basi tembea
nani! nani tembea

Kaa si ganji au mradi,
basi tembea
nani! nani tembea

Na na staki kukuona
ah aaah Staki kukuona
Na na staki kukuona
ah aaah Staki kukuona

Bridge
Na na staki kukuona ah aaah staki kukuona
Na na staki kukuona ah aaah staki kukuona…

Chorus
Kaa si pesa au biashara,
basi tembea
nani! nani tembea

Kaa si ganji au mradi,
basi tembea
nani! nani tembea

Na na staki kukuona
ah aaah Staki kukuona
Na na staki kukuona
ah aaah Staki kukuona

Outro
Unajua na hope unaelewa,
si kwa ubaya
lazima kwanza watu wajenge doh,
lazima watu wafanye biz
nikishajenga doh, ntakutafuta,
ukweli ntakutafuta!

You cannot copy content of this page