Rabbit – Adisia Lyrics

CHORUS LYRICS:
Adisia (x2) Hizo makofi za kilo Adisia,
Adisia(x2) Waiter unakaa kaa aje Adisia,
A-a-a-a-a Adisia (x3)
Hizo makofi za kilo Adisia

VERSE 1 LYRICS:
Niliwaachia wa-run Nai, na Daresalaam,
Mi na-fly over sky, nikepewa njugu karanga,
Na ma-hostess wanadai, we love your album,
Kalongo ni ya mama pima, na hype niliachia Williams.
Nimejipin kama nappy, sling kama babby,
Hata waki-buy over-over, hawaezi copy,
Naskia kuna tumbili zinacheka na rasa national Park,
Saa hizo ma-groupie wananipapasa wakinipikia lunch.
Kabla sijatoa ngoma, ma-DJ wanaipea promo,
Wasanii wa-slim wanafura,Utadhani ni wanono.
Wananimwagia chumvi, ndio ni-slow kama konokono,
Me ni sunguch, mi nitamake steps nono-nono.
Bado me m-tight kama budget ya msee amesota,
na-dunda kama msee mfuko yake imetoboka.
Wonder-boy, mjanjess, paraphernalia.
Hizo keybpoard tamu, lakini, Kanyeria

CHORUS LYRICS:
Adisia (x2) Hizo makofi za kilo Adisia,
Adisia(x2) Waiter unakaa kaa aje Adisia,
A-a-a-a-a Adisia (x3)
Hizo makofi za kilo Adisia

VERSE 2 LYRICS:
Nilikua na mistari nadai kusieze kama Julio.
Hata kama talk is cheap, walidai ganji za studio.
Laser lights kwa club utadhani sniper wanasaka killers,
Na hawa madem wameni-kaba utadhani ni game ya mpira.
Wewe ni m-special kama offer, na umeji-bebea virago.
So special, nilikuona kwa video ya Mavado.
Since sikunywagi (waiter tot ya avocado).
Madem bado huni-admire, ndio Size 8 alishika fire.
Na wewe kusema Rabbit sio king (una-preach to the choir).
Nina shida ya macho, me siwezi kuonea wivu (aje).
Hauna mbolea hauna mistari, shake yako haina wolves ,
Ati skills kali, (ati) ati wa-hot poker,
(ati) ati snails zao, huwa zina-swim kwa salt water.
(ati) ulimi zao, ndio mahali mistari hudondoka.
Ni ma-MC wana-wonder na hit moja, then wao missing
Kama MP wangu au C-zars, na Joe Hamisi

CHORUS LYRICS:
Adisia (x2) Hizo makofi za kilo Adisia,
Adisia(x2) Waiter unakaa kaa aje Adisia,
A-a-a-a-a Adisia (x3)
Hizo makofi za kilo Adisia

VERSE 3 LYRICS:
Sahii nashugulikia mother anything, ndio akue happy.
Come uone jikoni yake, utai-confuse na shelves za Tuskys.
Ma-shamba boy na ma-shamba girl, na hata hatuna shamba,
Ma-fans nawapa classics, juu walinipa taji.
Saa hizo hits zinajifwata, wanadai niko over-fertile,
Beenie, big meeting ni suti na tie.
Kile na-spit ni sick, lazima wai-tweet pick.
Talk of the city, hauezi ni-tooth pick.
Na shati haiwezi itwa sweater hata iki-shonwa na uzi nzito,
Full stop haimaanishangi, stori imefika mwisho.
Utamu wa hustle ni noti, utamu wa plaka ni nj@ti,
Na hii respect nili-earn, sikuibuy kwa shop,
ati Matata nipe respect, maziwa mbili na lollypop.
Maboys wanadoz mchana, ati usiku wako night-shift.
Nikitoka hustle wanadai, “oya nice kicks!”,
Hebu nione kama zina-fit, alafu hizo maganji Rabbit,

CHORUS LYRICS:
Adisia (x2) Hizo makofi za kilo Adisia,
Adisia(x2) Waiter unakaa kaa aje Adisia,
A-a-a-a-a Adisia (x3)
Hizo makofi za kilo Adisia

You cannot copy content of this page