Pastor Joan Wairimu – Kunywa Maji Lyrics

Verse 1
Yesu kamwambia 
mwanamke msamaria kisimani
Hao wanaume ulio nao hawamalizi kiu 
kunywa maji
Ee dada kunywa maji 
kunywa maji
Kwani ukinywa haya 
hamna kiu tena
Minisketi hipster fashioni 
Hazimalizi kiu kunywa maji

Chorus
Kunywa maji 
Kunywa maji
Kunywa maji 
ya uzima

Verse 2
Mzee mbona kiu 
na maji yapo 
Kila siku pombe 
sigara mdomoni
Leo ni atoti 
kesho ni wanjiku 
Watakumaliza kunywa maji
Kijana nakwambia usidanganyike 
Raha za dunia 
hazimalizi kiu
Madawa ya kulevya na dot komu 
Hazimalizi kiu kunywa maji

Chorus
Kunywa maji 
Kunywa maji
Kunywa maji 
ya uzima

Verse 3
Ee mama Kunywa maji uache fitina
Wivu masengenyo na mashindano
Maji ya uzima 
furaha tele
Kila siku mama ni haleluya

Chorus
Kunywa maji 
Kunywa maji
Kunywa maji 
ya uzima

Wacha pombe 
Kunywa maji ya uzima

Chorus
Kunywa maji 
Kunywa maji
Kunywa maji 
ya uzima

You cannot copy content of this page