P-Unit & Nonini – Kushoto Kulia Lyrics

Chorus
kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop, drop, twende

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop stop, drop,

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop, drop, twende

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop stop, drop

Verse 1 (Nonini)
kila kitu mi hufanyaga jo huwaga kushoto kulia
ata nikienda studio njia mbili mi hutumia
nafsi ya Nonini huwaga imegawanyishwa mara mbili
pande moja yakubaliana nami pande ingine yanikataa kamili
baada ya chuo nilikuwa nataka kufanya kazi kwa ofisi
ndoto hii pande ingine ikaniambia jo nianze muziki
ndio maana kwa hii gari utanipata nimetulia
nime-lean back mkono steering yangu ya kulia
mguu kushoto brakes in case niki-need kutumia
kwa stage nikiona pande wa kulia watu wamesinzia
mi hugeuka naenda pande yangu jo ya kushoto
alafu nawaambia jamaa ebu nione hizo mikono
bibi lazima pia nikuwe na wangu wa kushoto
sa ule wa kulia anadai niko msoto
na anaipendaga nikiekeleanga
nikisongezaga
kushoto kulia na…

Chorus
kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop, drop, twende

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop stop, drop,

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop, drop, twende

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop stop, drop

Verse 2 (Frasha)
ivyo vyote ya masato sina taabu
sanasana mi hujipata ndani ya klabu
kuingia lazima ntaangalia
kushoto kulia kisha naenda kutulia
dame yangu kushoto amelalia
beste yake kulia macho mi ananifungia
ma-beer hukam tu by order
dakika kadhaa naskia kunyora
ndani ya choo mi hujisunda kwa korna
mkono wa kulia ndio unashikilia
mkono wa kushoto unafunikia na
mi hunawa nikimalizia
DJ nichezee kushoto kulia na
usi-scratch unaeza katsia
ona venye inawararukia
na ukipenda unaeza irudia tena

Chorus
kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop, drop, twende

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop stop, drop,

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop, drop, twende

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop stop, drop

Verse 3 (Gabu aka Buganya)
mwanadamu habari salamu
mkono wa kulia ndio utapata
mwanadamu ka vita wataka
mkono wa kushoto ndio utapata
mwanadamu kafegi ka-lighter
mkono wa kulia ndio itawasha
mwanadamu sambusa kwa gari
mkono wa kulia ndio utapata
(Bonnie aka Bon’eye)
maisha siku hizi pia ni
kushoto kulia
saa zingine nimeosa saa zingine naumia
kejani hata
siwezi tulia
ma-bill ndizo hizo lazima ku-clear
kushoto siekangi mabeste bandia
mi huweka kulia
ndio wanakaribia
kushoto upande ya mama watoto
ya kumtuliza na pia kumpea joto
jana base, magava walitokea
kushoto kulia maboys walipotea
rize zikalia
wakaanza kimbia
kushoto kulia
si tuliwaambia wee

Chorus
kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop, drop, twende

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop stop, drop,

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop, drop, twende

kushoto kulia na
kushoto kulia na
kushoto kulia now stop stop, drop

You cannot copy content of this page