P-Unit ft. Collo – Rush Hour Lyrics

Intro
P-Unit!
Frasha Buga Bon’eye Collo
Tuko busy busy
Tuko busy busy

Frasha Buga Bon’eye Collo
Tuko busy busy
Tuko busy busy

Verse 1 (Frasha)
Toyota Lancer Mercedes Benz
ka uko jam nao acha ku-tense
ongeza volume anza ku-dance
gari pikipiki zimefungana
ndai ndogo ndogo zimesimama
tuVitz tuvitu zimesimama
full tangede njugu mihogo
zikishika shika kisogo
hakuna cha mdogo mdogo
kama huwezi funga virago
matatu zinapita na jam
mi naona ni ka najam
kando naona madam
nampiga kwanza salaam
naona akitabasam
naona nimepata some
chips beba na kuku tatu
leo tu ni kukuta tu
Musyoka kukuta tu
chips na kukuta tu

Chorus
chap chap
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake
rush hour
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake

chap chap
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake
rush hour
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake

chap chap…
rush hour…

Verse 2
(Collo)

I’m trying to locate
that beautiful car for me
whenever I drive
I buckle up for my safety
reciprocate
whenever I turn the key
I’m trying to pull a Nameless 
baby can’t you see
What do you prefer
gear one 
as we accelerate gear two
step on the clutch
into three 
four or five with me
and if you like it 
we can reverse it 
jina yangu kwa history ya rap najenga 
choka na mimi nime-fuse rap na benga

Chorus
chap chap
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake
rush hour
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake

chap chap
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake
rush hour
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake

chap chap…
rush hour…

Verse 3
(Gabu)

mi ni trailer nimebeba gari kubwa
gari ndogo pikipiki bodaboda haina noma
dereva ni moja ka wa pikipiki
ni kupikipiki vitu big na kukikikiki
gari ndogo ndogo ni za Frasha
mbona Buga hizo vitu biggy Collo 
tunazijiggy jiggy
nina puncture chini ya gari
nipe jekijeki usipige simu mi
niko busy busy

niko busy busy
usipige simu
niko busy busy

niko busy busy
usipige simu
niko busy busy

(Bon’eye)
utadhani showroom
mandai kibao
kubwa kubwa wow
sina parking kwa hao
jana ilienda je leo itakuwa how
anyway
kama Whispero niite son of the soil
engine isi-knock lazima ku-change oil
niko chini yake utadhani kame-spoil
by the way
kame-spoil
juu gede expe lazima kakunywe
bumper nako ndio kasisanywe
roadi za Nai 
kuna mahungre
carjackers karao wasee wa mathree
msee wa routi ka mi nabebwa saree
nilicheki tu-rims nili-buy ndula
kuku mfalme mi nakula chakula
kanjo na dame bado hatujalala

Chorus
chap chap
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake
rush hour
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake

chap chap
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake
rush hour
kila mtu na wake
kila mtu avuke na wake

chap chap…
rush hour…

You cannot copy content of this page