Nonini ft. Lady Bee – Kumbuka Lyrics

Chorus (Lady Bee)
Nishike mkono kupe
tuweke safari kule
tulipotoka, tuliposonga
saa kila mtu cheka na ukumbuke

Nishike mkono kupe
tuweke safari kule
tulipotoka, tuliposonga
saa kila mtu cheka na ukumbuke

Verse 1 (Nonini)
unaeza kumbuka tukipigania hii muziki ya genge
nafurahi tu mtu akirequestia DJ tu acheze
sijui ka unaeza kumbuka Kev akiwa radio presenter
Ethnic Fusion kila Sunday mzee alikuwa analeta
unaeza kumbuka Pinye akiwa DJ Club Jungle
chwani ameendelea sabu yake tu hustle
sijui ka unaeza kumbuka vile wee kamu ilileta balaa
maparo noma jamaa nilikuwa natafuta tu uganga
unaeza kumbuka msanii dame alikuwa hizo enzi
mirako wameamka na wanadai jo hawachezi
sijui ka unaeza kumbuka studio zilikuwa ngapi Nairobi
siku hizi zimetokea every day ka gari mpya DT Dobie
kumbuka HardStone akituimbia ohiki
unaeza kumbuka siku mdudu haikuwa
usitake ku-imagine vile ma-boy walikuwa wanararua

Chorus (Lady Bee)
Nishike mkono kupe
tuweke safari kule
tulipotoka, tuliposonga
saa kila mtu cheka na ukumbuke

Nishike mkono kupe
tuweke safari kule
tulipotoka, tuliposonga
saa kila mtu cheka na ukumbuke

Verse 2 (Nonini)
unaeza kumbuka kipindi ilikuwa inaitwa mizizi
wasanii wakipiga ma-interview ma-boy walikuwa chini
sijui ka unaeza kumbuka ma-tabloid kwa gazeti
zilitokea heshima industry ikaenda down lakini siteti
unaeza kumbuka kipindi ilikuwa inaitwa Music Time
siku za ma-call box na haukuwa na ma-mobile
sijui ka mnaeza kumbuka zig zaga zogo
club ni moja mbili au tatu ukiskia joto
unaeza kumbuka Mobil Parklands tukiwa shamba
tulifukuzwa juu ma-boy walileta ma-blunder
unaeza kumbuka Muthoni Bwika Nation akiwika
Eve De Souza mpaka wa leo hata wanamskiza
sijui ka unaeza kumbuka Dan Oloo Metro saa sita
wengi wenu mlikuwa watoi na ye ndio alipigania hii vita
mnaeza kumbuka niko gauge, niko maji, nikooo…

Chorus (Lady Bee)
Nishike mkono kupe
tuweke safari kule
tulipotoka, tuliposonga
saa kila mtu cheka na ukumbuke

Nishike mkono kupe
tuweke safari kule
tulipotoka, tuliposonga
saa kila mtu cheka na ukumbuke

Verse 3 (Nonini)
tuonee guanta tukicheza bano
madame bladder wakirukaruka huko kando
unaeza kumbuka Mr. Show Starehe Boys Centre
alikuwa sharp shooter wagondi wengi walienda
unaeza kumbuka Mobil Tazama kila Sato
ukileta ma-movie za free kwa esto yako
kumbuka Kasavuli jo news akileta
mtoto mzuri mpaka leo hajazeeka
makamero na makaboti
kanjo ilikuwa inafanya kazi yao vizuri
unaeza kumbuka tukienda maduff mpararo
tuliskumana na mabeta na mng’arii kwa ubaro
nikumbushe wasanii wagani ndege walikuwa wanapanda
nashukuru venye wagenge jo siku hizi wanatamba
Treetop unakumbuka hiyo juo vile ilikuwa na shuge
hizo memories kadhaa za mine nimekuge

Chorus (Lady Bee)
Nishike mkono kupe
tuweke safari kule
tulipotoka, tuliposonga
saa kila mtu cheka na ukumbuke

Nishike mkono kupe
tuweke safari kule
tulipotoka, tuliposonga
saa kila mtu cheka na ukumbuke

You cannot copy content of this page