Nameless & Mr. Lenny – Juju Lyrics

Nameless & Mr. Lenny – Juju Lyrics

Chorus (Lenny)
amenipa juju
oh, oh, oh
ni majuju
nimeshachizi

amenipa juju
oh, oh, oh
ni majuju
nimeshachizi

Verse 1 (Nameless)
ninamshuku
huyo dame supuu
amenipa juju
namwota kila siku
nikimwona
nashikwa na kifafa
naanza kuropokwa 
siwezi kusikika
seniorita
take me to your leader
I can be your slave
and you my mamasita
na hiyo juju
umenipa ni ya nguvu
siwezi kujitibu
nimerogwa nayo voodoo

Chorus (Lenny)
amenipa juju
oh, oh, oh
ni majuju
nimeshachizi

amenipa juju
oh, oh, oh
ni majuju
nimeshachizi

Verse 2 (Nameless)
nimeshachizi
nipeleke ‘spitali
nione dakitari
anipe tembe flani
nikimwona
nashikwa na kifafa
naanza kuropokwa
siwezi kusikika
ninawika
oh mama mia
nipe mi malkia
mapepo zafifia
I need an antidote
namwota kila siku
I need an antidote
ameroga nayo voodoo

Chorus (Lenny)
amenipa juju
oh, oh, oh
ni majuju
nimeshachizi

amenipa juju
oh, oh, oh
ni majuju
nimeshachizi

Verse 3
kama nimechizi
nimerogwa
na huyu manzi ameniwai
kama ninanoki
nikicheki
huyu manzi na mini shorti

kama nimechizi
nimerogwa
na huyu manzi ameniwai
kama ninanoki
nikicheki
huyu manzi na mini shorti

na sasa nimeamua ya kwamba
mimi nitaenda
kuona witchi dokta

na sasa nimeamua ya kwamba
mimi Mr. Lenny
ntaona witchi dokta

Chorus (Lenny)
amenipa juju
oh, oh, oh
ni majuju
nimeshachizi

amenipa juju
oh, oh, oh
ni majuju
nimeshachizi

You cannot copy content of this page