Nali – Letter to E-Sir Lyrics

VERSE LYRICS:
Niaje E-Sir siku mingi bana
leo ni leo mambo leo na si ni ungwana
ilibidi ngoma moja nikuhalla
na nimefika album si ulikuaga tu mnoma
skiza ka ningeweza kukuona
tungego tuflick rhyme so si jobless kona
but usijali nitafika ka bata
akili ni safari boot na njia nimekamata
industry sa imejaa tu magamba
gotea K-rupt track ya finje si ni bamba
jua unapendwa yani Coast hadi Coast
Brenda pia ametulia life ni moss tu moss
shida ni nyingi lakini si kuna bale
lakini nikiwa kwa gari yuubidi nimesare
mi na mabeste tukibounce kwenye giza
lyrical tongue twista ikibump kwenye speaker
madem huwika siku hizi ndio mapishi
club ndio manjiva lakini mi hamnitishi
ka sio rap nimo juu ya rumba
dem anasinzia so hiyo track nampa boomba train
leo ni leo msema kesho ashajitupa
hukupakwa oil kwa mgongo wa chupa
kuna kijana toka South C jo
West or East E-Sir, we really miss you bro

E-Sir paree…

You cannot copy content of this page