Mwana FA & Linah – Yalaiti lyrics

Linah let’s go

(Chorus)
Yalaiti napenda pasi kifani,
Tofauti sikutilii moyoni
Sikuachi leo na kesho peponi
Aaa aaa aa i love you (repeat chorus)

(Verse:1)
Sambaza love kama dawa sikuachi mpaka napagawa
Wakisema me siwagusi natingisha kichwa
Mapenzi yako yanielemea kama chupa nzima ya tequilla
Si ulishasomw nakupenda acha masihara
Kuna aja gani nikushikie fimbo ili nikusikilza kama gorrila
me mtu na mapenz yangu nmeshaaja zaman usela
Una matatizo yako najua
Na me yangu boo
With together from this moment
We will sue them through
Nikukosea nisute,nipige vibao nizodoe,
Ninunie kwa siku kadhaa ila nachokuomba usinikimbie
Mapenzi hatamu me kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo
Ukiniudhi ntakupiga kwa kanga ndo nilivyofunzwa Tanga ivyo
Toaga mabusu nikufute kwa kumbatio mpk tamu kwa kiss ya pili
Ukinikumbuka iwe kilio
Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe usinikatae utaniumiza me na
biashara na wewe

repeat(chorus)

(Verse2)
Nshasema Sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe
Usinikatae utaniumiza me na biashara na wewe
Ushaangaliwa niunge tela
Usingoje mpaka uambiwe
ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe
Kwako ntakuwa Bushoke sitajiulza ka zezeta
Yatoe mahaba mapenzi amani tumepita
Me sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali
Na moyo wangu nitapenda bila kujali
Hata marefa wana timu zao mama
Hupanga matokeo
pambano lianze
washajua goli ngapi ngapi leo
Husiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini waachie vicheche
Mwanamke kwetu staa hatuna tupendao sio wote
Akili haziwezi moyo na wenyewe una ubongo pia hauwezi kufuata fuata
kila utakachouambia
Nahitaji yako mapenzi
Napata picha yako kwanza
Natamani upate yangu nayo iwe inakuliwaza

(Bridge)
Linah:toa shaka na wasiwasi moyoni*2
Kukuepuka ilo haliwezekani
ntakushika leo na kesho peponi

repeat(Chorus)

Tagged

You cannot copy content of this page