Mimmo & Collo – Best Friend Lyrics

Verse 1 (Mimmo)
sijui niseme nini
ilianza hivi kimchezo
kila week kapitia kejani
leo kuna mpango fulani
na ubeste kazidi kila siku
mi sijali napenda kuwa naye
lakini kwenye ile harakati
hisia flani…

so many friends, friends, friends
they come for a reason
they come in a season
nime-realise nimenoki my best friend
so now, now, now
sijui la ku-do
all the things for a season
nime-realise nimenoki my best friend

Chorus (Mimmo)
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend

Verse 2 (Mimmo)
just in case unadhani nimeshamueleza
toa, toa hizo fikra
what if the thing’s not mutual
oh mi nitado, nitado, nitado do do
maybe I should say it one of these days
or maybe matendo yatahala liar
maybe I should just let it go, let it go, let it go…
easier said than done

so many friends, friends, friends
they come for a reason
they come in a season
nime-realise nimenoki my best friend
so now, now, now
sijui la ku-do
all the things for a season
nime-realise nimenoki my best friend

Chorus (Mimmo)
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend

Verse 3 (Collo)
si ni mabeste lakini namtaka
ntafanya chochote mwishowe ntampata
nikiwa na shida na dame yangu nilikuwa namkimbilia
shida sasa zimechacha nimechoka kuvumilia
according to my intuition
I’m in a very compromised situation
kati ya ye na dame wangu ye ni m-flyer haiya
si ni mabeste lakini ka ni mbaya, mbaya (au vipi)

Chorus (Mimmo)
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend
nimenoki, nimenoki, nimenoki ye
nimenoki my best friend

You cannot copy content of this page