Mercy Myra & K-South – Sitaki Lyrics

Intro
Ogopa, rafiki nyoka
Atakugeuzia kama kinyonga
Watani bomba saidia
Kumbe wajinyonga
Brother, I suggest you rather take a chill pill
And think twice before we can fight each other
Trying to uncover about my lover
Mafanya nimefanyeje ….whatever
You think you’re clever
Don’t be silly
You only be scandalous like Lewinsky and Billy
Ukiacha msengenyo tu pamoja
Lakini kini kiafinyo tutaongoja
Ukitaka mchogoano utangoja
Hey, utangoja (2x)

Verse 1
Tabia kama hiyo
Mimi sipendi
Wala sio ungwana
Tena sio ustaarabu
Why you wanna hurt me, thought you were my friend
Seems like you desert me, when I need a hand

Chorus 2x
Mimi sitaki, sitaki, sitaki, sitaki uovu
Don’t want friends who backbite
Just cuz I’m out of sight
Mimi sitaki, sitaki, sitaki, sitaki uovu
Don’t wanna hurt in this way
Better take care of what you say

Verse 2
I am confused by these rumours
Growing in people’s heads like tumours
I think I am fed up
These liars won’t shut up
They keep playing with the knife
They get themselves cut up
When they see me in the club, they be like ‘yo what up’
Why lie, I thought you were my guy
But you were just a spy
Na mambo ya mensengenyo, mi sitaki
Na mambo ya mchongwano, mi sitaki
Kama hiyo ndiyo mambo jo, mi sitaki
Hey, mi sitaki (2x)

Verse 3
Kama niko mwenyewe
Mbona hamnisengenyi
Nikiondoka kidogo
Nyumba mwanisengenya
I am only asking of you, what I know is fair
Don’t beg loyalty, where you don’t really care

Repeat Chorus 2x

Verse 4
Tabia kama hiyo mimi sipendi
Sio mwana, tena sio ustaarabu ustaarabu
Nikiwa mwenyewe mbona hamnisengenyi
Nikiondoka kidogo kidogo bona mnasengenya

Ooh yeeaah
Mwani se ngenya (3x)

Repeat Chorus till fade

You cannot copy content of this page