Mejja, Madtraxx and Jimwat – Mezesha Lyrics

Mejja, Madtraxx and Jimwat – Mezesha Lyrics

Chorus
(Mejja)

Walikuwa wamezoea mi hutumia City Hoppa
Lakini siku hizi mi hu-land na ma-choppers
(Madtraxx)
Madtraxx huwanga DJ tu
Ndio wanashtuka kuniona kwa keyboard mwendawazimu
(Jimwat)
Jimweezy siku hizi noma kiswahili
Uki-kis dame mmoja mi na-kiss wawili
(Mejja)
Ni Mejja, Madtraxx Jimweezy
Mara ingine 
Mara ingine
Juu, hizo mikono 
Juu, hizo mikono
Juu, hizo mikono
Juu, hizo mikono

Verse 1 (Mejja)
Kama umekazwa na umekosa choo
Wee fungua akili, mezeshea kwa ndoo
Ka kiddy wako msifuatane ka kondo
Ka umeshindwa ku- grow
Ka umeshinwa ku-flow
Kupayuka kama mathe wee punguza juu *****
Hii ni mwaka yetu kumezeshea ndio zetu
Ni wasanii majitu
Tena watatu
Wanasumbua sana airwaves na matatu
Hiii ni genge tunaleta hivyo
Ni mimi, Jim na Madtrakshizzo
California sisi bado tuko
Tunamezeshea baso tuko huko.
Nasumbua chini nikiroga
Nasumbua juu na ma-choppers
Lakini bado mafans ndio masonko
Juu bila wao mi siezi tu Okonkwo.

Chorus
(Mejja)

Walikuwa wamezoea mi hutumia City Hoppa
Lakini siku hizi mi hu-land na ma-choppers
(Madtraxx)
Madtraxx huwanga DJ tu
Ndio wanashtuka kuniona kwa keyboard mwendawazimu
(Jimwat)
Jimweezy siku hizi noma kiswahili
Uki-kis dame mmoja mi na-kiss wawili
(Mejja)
Ni Mejja, Madtraxx Jimweezy
Mara ingine 
Mara ingine
Juu, hizo mikono 
Juu, hizo mikono
Juu, hizo mikono
Juu, hizo mikono


Verse 2 (Madtraxx)
So you think Madtraxx is just a DJ
Uliona last tym niki-cut kwa decks
Mi na-cut ma-necks
Ya hao ma-fakes
Wananiita madtrizzy teke ya punda kwa chest
Asante, thank you, yes bless you
Madtraxx wanted
Mazee huwezi make juu
Mejja, weezy tupate tu ofisi
Studio tukimada hizi beats
Muziki, ndani ya damu sisi
How you gonna stop us now
Umechelewa.
Mazee unahema
Jana kuliendaje
Vile tuna-take over
Genge damu soldiers
Wameshindwa tu na kubonya
Ka si dough mi sibongi
Bonga points minus 40
Bank ni keja yangu
Na charts ni chumba changu
Unapelelka mbio ndio wanashindwa ku-handle
Wameshindwa ku-dance
Wanashindwa ku-tango.

Chorus
(Mejja)

Walikuwa wamezoea mi hutumia City Hoppa
Lakini siku hizi mi hu-land na ma-choppers
(Madtraxx)
Madtraxx huwanga DJ tu
Ndio wanashtuka kuniona kwa keyboard mwendawazimu
(Jimwat)
Jimweezy siku hizi noma kiswahili
Uki-kis dame mmoja mi na-kiss wawili
(Mejja)
Ni Mejja, Madtraxx Jimweezy
Mara ingine 
Mara ingine
Juu, hizo mikono 
Juu, hizo mikono
Juu, hizo mikono
Juu, hizo mikono

Verse 3 (Jimwat)
Mejja na Madtraxx kwa mix ni mezesha
Ongeza Jimwizzy mazee ememezesha
Ni kwa beat mezesha
Tena na spit mezesha
Its a hit mezesha
Oh szzt mezesha
Swali 30 kwa exam na unajua tu number 1
Ndio hiyo mwakenya inaku-save ki- superman
Kukosa number 29 but ulidab swali ya mwisho
Ndio huyo Mr. Kamau
Unasoma nini Opiyo
Mezesha hu-come kighafla ka rubber ku-burst
Iliekwa ka imeandikwa ‘hii ndio hu-last’
Mezesha ni ka uliota ulevi na gari ya car hire
Unakosa kuona ile rounder unaichota vibaya
Mezesha ni kupatwa na bibi ya msee na husi
Unajitetea ‘tunapika’
Na hamna mavazi
Mezesha ni kwetu hii biashara kweli ni hasara
Ona vile tunavuta mafans ka sigara

Chorus
(Mejja)

Walikuwa wamezoea mi hutumia City Hoppa
Lakini siku hizi mi hu-land na ma-choppers
(Madtraxx)
Madtraxx huwanga DJ tu
Ndio wanashtuka kuniona kwa keyboard mwendawazimu
(Jimwat)
Jimweezy siku hizi noma kiswahili
Uki-kiss dame mmoja mi na-kiss wawili
(Mejja)
Ni Mejja, Madtraxx Jimweezy
Mara ingine 
Mara ingine
Juu, hizo mikono 
Juu, hizo mikono
Juu, hizo mikono
Juu, hizo mikono

You cannot copy content of this page