Mahatma – Pande Zote Mbili Lyrics

Intro
leo uko na pesa
kesho hauna
leo uko na bibi na mama na baba
kesho hauna
leo uko
kesho hauko
pande zote mbili
nakuambia

Chorus
niko na wewe 
mpaka kufa
niko na wewe 
mpaka kufa
nakupa moja kati ya mbili ya taabu zangu
nakupa moja kati ya mbili ya taabu zangu

Verse


kila nikipanga mawazo yangu kwenye karatasi
sikosi kuongea kuhusu maisha yangu binafsi
maisha ya wasiwasi
wacha nikupe story basi
story yenyewe imeanzia mbali sana
sanasana watoto wakiniona mtaani wananitukana
ndio ujue mwanaume anakula shida usiku na mchana
asubuhi mi ndio mtu wa kwanza kufungua base ni ka kuna kitu nangoja
uh-uh, ngoja, ngoja 
vidonda kwa ulimi siwezi tafuna ata kuonja
ugonjwa nishasahau hata kupona
nishazoea kusota
hakuna kung’ara
hakuna hata kuona hiyo nyota
sikutaka kuja hapa
mi tu nilijipata hapa
pekee yangu kivyangu nikiwa pale pale base mpaka usiku saa tatu
miaka ishirini na tatu
na bado naishi kwetu
ata hujauliza mtu ni nani
anakuambia huu si wetu
mi si mtu
kwa sababu sina kitu
mi si mtu wa maana
mi ni sawa na mnyama
Mahatma hii ni ya nani
hii ni yetu
ile ni ya nani
hii ni yetu
yetu si yangu
hizi nguo navaa zenyewe si zangu
halafu kuna manzi analeta mtoto kwetu ati anasema ni wangu
hajui ameongeza taabu juu ya taabu zangu
nakupa hamsini katika millioni za taabu zangu…

You cannot copy content of this page