Longombas – Usinihande Lyrics

Longombas – Usinihande Lyrics

Verse 1 (Christian Longomba)
nilikuwa nimepoa
lady wako akatokea
akaniuliza Christian vipi
nami nilimgota
nikamwambia niko poa
niko freshi
akanipa macho sexy
nikajua ni manzi feki
akaniambia ameninoki
wee hakutaki
nimshike slowly
nimpige snoggy

Chorus (Christian Longomba)
usinihande
usinichape
ni lady wako
ameninoki

usinihande
usinichape
ni lady wako
ameninoki

Verse 2 (Lovi Longomba)
Before nimpige snoggy
kwanza nilimcheki
akanishika kwenye waist-i
kweli mimi nili-sweat-i
ulidhani nilimshika
ni yeye alijipa
kwa sababu amechoka
haumpi penzi poa

Chorus (Christian Longomba)
usinihande
usinichape
ni lady wako
ameninoki

usinihande
usinichape
ni lady wako
ameninoki

Verse 3
usinihande
usinichape, please
usinishike mashati
hebu niwache
si kosa langu, ah,
dame wako alinoki

wee vumilia
ni dunia
usije niumiza
tuliza boli

wee vumilia
ni dunia
usije niumiza
tuliza boli

hata ukinipiga
hakutaki
tafadhali
tuliza boli

alicheki mas**ti
na ma-bling bling akaninoki

Chorus (Christian Longomba)
usinihande
usinichape
ni lady wako
ameninoki

usinihande
usinichape
ni lady wako
ameninoki

You cannot copy content of this page