Lino Kipaji – Sivyo sivyo Sivyo Lyrics

Intro:
Hii ni S.M.T the mixtape vol 1
yaani the sun,the moon n the truth
3 things that you can not hide hommie
Lino Kipaji,
Octopizzo  nothing personal,nothing personal

VERSE 1 LYRICS:
Unaeza toboa kudaganya watu wengine wakati mwengine
Unaeza ata bahatika udaganye watu wote wakati mwengine
Lakini  sivyo sivyo sivyo
ata huwe na bahati ya mtede,
hakuna vile uaneza toboa kudaganya watu wote wakati wote
hiyo ni kuota ka ole kiyapi

Ulikuwa unakamingi wapi kila sato kudiss Nonini
sasa utuambie beef yako na Abbas ni mambo na Juakali?
mi nasema SIVYO SIVYO SIVYO
That was jealousy a femail trait na bado wewe ni traitor,
Utasemaje wewe ni underground na wewe ni commercial
kuliko mathree za eastleigh
ama malaya akilia machozi ya diamond kwa lodging
wewe ni msanii wa sanaa ya tamaa,
ungekuwa na uwezo
ungekuwa na jamii ya madem ka wasaba
makahaba wengi kuliko wezi katika hile kitabu ya alibaba

CHORUS LYRICS:
NIENDELEE AMA NISIENDELEE
SIVYO SIVYO SIVYO

VERSE 2 LYRICS:
Nimeskia rumours lakini hiyo sio biashara yangu
mi cjui mambo na illuminati najua tu mambo na wanati
wale wa mtaani wenya ukeep it real
fate ikiclose one door wana open hiyo ingine na hope
wasanii wote wajue
shetani ni mjanje sana ananga za sare
anaeza kutrick u trade ur soul for riches ili uweze kutoka from rags

to riches
lakini utajipata umefall from grace to grass
unakula nyasi ka neandethal man,
ama unaishi nyumba ya nyasi ka nebukadinezar

utasemaje  wewe ndo hip hop king  na ujawahi battle,
afadhali ata moroko na khaligraph waongee

Utasemaje ww ndo the best lylicist in Eastafrica,
while Kitusewer is still alive
show some respect n while at it ujiulize
ka unafikiria na hiyo kitu iko katikati ya miguu ama hiyo kitu hiko

kati kati ya akili?

Na hii si personal mtu wangu,
mi ata nilikuwa nakusupport sana mpaka ukaanzia za ovyo ovyo
wewe sio hip hop man
wewe ungekuwa hiphop mi ningekuwa kipofu

na philip mwaniki leave entertainers alone man,
stop tellin entertainers wot to do,
try doing it your self n u will lose everthing tyn u shoes nigger

hii the The Sun,The Moon n The Truth
The mixtape volume one,
Lino Kipaji
nothing personal
sometyms u got to get in the booth and say it as it is
im out

You cannot copy content of this page