Linet & Raudy – Size 8 Lyrics

Intro (Raudy)
kama penzi ni kipofu basi nipe macho nne
nitazame vizuri ka umebeba vile
una mwili ndogo ntakusunda kwa makwapa
weka bumper… Linet

Chorus (Linet)
haijalishi ka wadhani mi ni wa udu
size 8 size na na-feel so good
niwe na hips nikose ninone nikonde
bado na-feel good

haijalishi ka wadhani mi ni wa udu
size 8 size na na-feel so good
niwe na hips nikose ninone nikonde
bado na-feel good

Verse 1 (Linet)
so what
anasema hautoshi
kwani utashinda ukilia
girl you better accept yourself the way you are
ama watakukanyagilia
you’re fly, why lie
achana nao

Chorus (Linet)
haijalishi ka wadhani mi ni wa udu
size 8 size na na-feel so good
niwe na hips nikose ninone nikonde
bado na-feel good

haijalishi ka wadhani mi ni wa udu
size 8 size na na-feel so good
niwe na hips nikose ninone nikonde
bado na-feel good

Verse 2 (Linet)
kama una-feel fly
rusha mkono to the sky
usijali vile watakuambia
it doesn’t matter if you’re tall, black, white or grey
ndani ya hips na dress top
au lingerie

Chorus (Linet)
haijalishi ka wadhani mi ni wa udu
size 8 size na na-feel so good
niwe na hips nikose ninone nikonde
bado na-feel good

haijalishi ka wadhani mi ni wa udu
size 8 size na na-feel so good
niwe na hips nikose ninone nikonde
bado na-feel good

Verse 3 (Raudy)
hii mchezo haina rules
haijalishi vile uko
uwe na mazigwembe nazikwachu hivo hivo
hizo ___ bora hazija___
ama una haga kombo
bora zimesimama
enyewe nikitazama naskia skia tu
enyewe naketi poa mpaka roho unanisanya
juu wee ndio breko, lunch na pia supper
umenifunga kamba ni ka si ni mapacha
size 8 ama 9 gani unaona inakutosha
juu mi niko na yangu size 10 hapa kwa toja
rangi ni ile ile iwe red ama brown
unaita ni kazi ya kushika shika around
ukiwa down naleta moods zako juu tu
nafunga akili, nasi tu ni juju
ukiwa down naleta moods zako juu tu
nafunga akili, nasi tu ni juju

Chorus (Linet)

haijalishi ka wadhani mi ni wa udu
size 8 size na na-feel so good
niwe na hips nikose ninone nikonde
bado na-feel good

haijalishi ka wadhani mi ni wa udu
size 8 size na na-feel so good
niwe na hips nikose ninone nikonde
bado na-feel good

You cannot copy content of this page