Lenny – Leo Lyrics

Chorus
nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa wangu

nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa wangu

Verse 1
mara ya kwanza nilipomcheki
kwa kweli ndugu mimi sikuamini
lakini brother mimi sikusleki
nikaamua mi nikajitahidi
muda si muda mi nikainuka
roho juu kama ile ya simba
bila shaka basi nilifika
wangu mkono na mimi nikampa
haki ya nani anaua
ameumbwa kweli akaumbika
haki ya nani ana sura
mi sikufichi kweli anapendeza
nikasema niaje
akasema ni fiti
mambo ni vipi
akasema ni freshi
ole wangu huku mimi niliomba tu
kwamba atajipa

Chorus
nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa wangu

nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa wangu

Verse 2
mara tu tuliposhajuana
nikatafuta njia za kukatia
nikamwuliza kama ana boyfriend
akanijibu ye hajafanikiwa
nikamwambia dada usijali
chaguo lako kweli limewadia
akanicheki akapiga smilie
siku yangu kweli imewadia
haki ya nani anaua
ameumbwa kweli akaumbika
haki ya nani ana sura
mi sikufichi kweli anapendeza
nikamwuliza niaje
ungependa kudensi
akasema oh yes please
simindi kudensi
kufika hapo sasa mimi nikajua
kwamba amejipa

Chorus
nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa wangu

nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa wangu

Verse 3
nilijaribu bahati yangu one time
nikajaribu bahati yangu two time
nikajaribu bahati yangu three time
na sasa ni wangu nasema

nilijaribu bahati yangu one time
nikajaribu bahati yangu two time
nikajaribu bahati yangu three time
na sasa ni wangu

sasa yeye ni wangu, ni wangu
unaona vipi
sasa yeye ni wangu, ni wangu
she’s the only one for me

sasa yeye ni wangu, ni wangu
unaona vipi
sasa yeye ni wangu, ni wangu
na mimi siringi

Chorus
nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa wangu

nasema leo
nitahakikisha
leo
lazima atakuwa wangu

You cannot copy content of this page