Lastborn Sons – Shake Your Body Lyrics

Intro
ku-party tuta-party 
wakati mpaka che
teremuuusha tembo
vitambi zitokee

Verse 1
yo ma-brother naona wamekamata madada
mahaga, machupa kadha wa kadha
za vodka na beer
za mvinyo na pia 
ma-tot kama mia
za Tia Maria
e-yo sista sista basi njoo cheza nami
nataka tucheza tupendane tujivinjari
tuponde mali tukunywe bia tindi kali
twende kushoto kulia kati kati
nacheki wadhii wamewaka mpaka wamelala
wengine wametulia tu wakivuta sigara
wengine wao wako kwa corner wakishikana
eish bana si mtulie mtapatikana
hakuna kwenda home mpaka asubuhi saa mbili
ni ku-boogie tu kwa floor mpaka maumivu kwa mwili
kudansia beat ka hii si chini kwa chini
ni kurusha mwili ka umerukwa na akili

Chorus
Everybody shake your body dance, dance (oooh)
Everybody shake your body dance, dance (oooh)

Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)

Verse 2
kuja cheza na mimi
ruka imba na mimi
I like the way you’re dressed
I like the way your body’s bumping 
I like the way you rock
I like the way you make it happen
wasee
It’s a party KGB we rock the show now
usichoke tutaruka mpaka moro
excuse me nipe hii nafasi
sasa twende tusakate dansi
excuse me nipe hii nafasi
sasa twende sasa twende…

Chorus
Everybody shake your body dance, dance (oooh)
Everybody shake your body dance, dance (oooh)

Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)

Verse 3
manzi ako rave ame-guardiwa na bro
mi naenda kwake namwamkua shikamoo
bro wake ana-come ananiseti ma-blow
hakuna kitu naeza do mazee huu msee ni msoo
kujiwasha na spirits kabla hujaingia klabu
unamaliza usiku nzima na sip tatu
hii beer ni mzima ni ka saa hii ndio umeikwachu
madame, mamini mahips na mahewa
ma-boys maPili maTusker kulewa
wengine wamebleki chini wamelemewa
anyhow, chunga usinikanyage
mzee ni how
chunga usitapikiwe
chunga wasee ambao
unakatika nao
mnaeza anza war na mlale kwa karao

Chorus
Everybody shake your body dance, dance (oooh)
Everybody shake your body dance, dance (oooh)

Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)
Dance dance (oooh)

Outro
ku-party tuta-party 
wakati mpaka che
teremuuusha tembo
vitambi zitokee
vile mi nimeng’ara 
nime-come kujivinjari
na siwezi kataa 
leo inakaa
kila mtu amefurahi

You cannot copy content of this page