Kris – Eeh Baba Lyrics

Kris – Eeh Baba Lyrics

Verse 1
attention
this is an invasion
every demon dey are put to detention
mi uh mention Christ He uh perfection
the way you uh live He uh release di tension
we uh spread everywhere like infection
preaching di word to each and every nation
we uh spread everywhere like infection
preaching di word to…

dis year, nia
ni kufikia
kwenye hawajaskia
wee tega ear
tuko over here
tunajiskia
Yesu ndiye njia
juu
hii ni urgent
kwa ma sergeant
dhambi ni chafu haitoki na detergent
imagine
alimtumia virgin
kukupata, it’s you that He’s searching

Chorus
alikufa juu ya mi (eeh baba)
alitoa dhambini (eeh baba)
ero Yesu ananijali (eeh baba)
eleyo, eleyo (eeh baba)

kama wee uko huru (eeh baba)
kama wee umecheki nuru (eeh baba)
tunadunda dunda wee (eeh baba)
eleyo eleyo (eeh baba)

Verse 2
sina haja ya ku-pretend, in the end
Yesu abaki ndiyo friend, tuna-blend
mpaka twafika kwenye bend, kwenye korna
Mungu waniona, mbona
ukitubariki
twaanza kujiona
dada ataka kuwa ka Madonna
chali hataki Toyota Corona
Hummer yafanya tunazama kama
ungepata fursa kuona Obama
ukweli ni kwamba ungecheki drama
lakini wakija mbele zako Baba
mbona wanavaa ka kahaba

hii ni urgent
kwa ma sergeant
dhambi ni chafu haitoki na detergent
imagine
alimtumia virgin
kukupata, it’s you that He’s searching

Chorus
alikufa juu ya mi (eeh baba)
alitoa dhambini (eeh baba)
ero Yesu ananijali (eeh baba)
eleyo, eleyo (eeh baba)

kama wee uko huru (eeh baba)
kama wee umecheki nuru (eeh baba)
tunadunda dunda wee (eeh baba)
eleyo eleyo (eeh baba)

Verse 3
verse three
sina story
kuna vile niliacha tu ku-worry
nimeokoka, najua nilikotoka
na devo habambiki kwani kwake niling’oka
karena
ni kubaya
kuna vile devo ameanza kugwaya
this year we are pulling a big year
we are breaking all the fears and wiping all the tears man

nikisema Ye
mnasema su
Ye… su! Ye… su!

nikisema Kris
mnasema to
Kris… to! Kris… to!

hii ni urgent
kwa ma sergeant
dhambi ni chafu haitoki na detergent
imagine
alimtumia virgin
kukupata, it’s you that He’s searching

Chorus
alikufa juu ya mi (eeh baba)
alitoa dhambini (eeh baba)
ero Yesu ananijali (eeh baba)
eleyo, eleyo (eeh baba)

kama wee uko huru (eeh baba)
kama wee umecheki nuru (eeh baba)
tunadunda dunda wee (eeh baba)
eleyo eleyo (eeh baba)

You cannot copy content of this page