Kris Eeh Baba feat Mutua – Katikia Yesu Lyrics

Kris Eeh Baba feat Mutua – Katikia Yesu Lyrics

CHORUS LYRICS:
Bam bam heh, bam bam bam bam heh
[herro]

VERSE 1 LYRICS:
Hello, huyu ni Herro
natuma salamu kwa watu wa Meru
heh, wacha nikusho dhambi inabo
mambo gani ya kuringa atakama una doh
machozi yangu hai-dilute
shida zangu kubwa Akazifanya my yout
wananiuliza mbona mimi na-salute
my yout, kilio changu Alifinyanga mute
njia pana pana mimi nazikana bana
Yesu alisema utajipata jehanamu bana
Yoh, mwana wa kondoo
dhambi Alilipa bila kutumia doh, Herro
bambam, chikichiki bambam
nikibanjuka ona inanibamba
nitaimba, that’s for sure
ukuta lazima zidunde and that’s for sure
herro

CHORUS LYRICS:
Bam bam heh, bam bam bam bam heh
[herro]

VERSE 2 LYRICS:
Asalam Aleikum wateule mabamdia
nafurahia ju Yesu Amenipigania
Ameniondolea hatia siko kwa njia bandia
nina alergy na tabia za dunia
wacha niku-show bro
Amenijaza mi siwezi maliza sitoo
na further more, Ye ni Father ana more
nikim-signal Hawezi ignore
parapara parapanda ikilia
tutapandapanda juu na parafenalia
ya dunia yatadidimia angamia
angalia nakuambia sina cha kujivunia
iwe, madirimi naona yanaongezeka
pongezi Mola Nampa inapoongezeka
nitarudia ili kupata sikia
nina alergy na tabia za dunia

CHORUS LYRICS:
Bam bam heh, bam bam bam bam heh
[herro]…
mi nikim-signal Hawezi ignore, heh
Bam bam heh, bam bam bam bam heh
[herro]…

You cannot copy content of this page