Kleptomaniax – Tuendelee Lyrics

Verse 1 (Nakiri aka Nyashinski)
ka ningekuwa msanii wa sanaa ya silaha
ningekuwa na jamii ya ma-Sadaam ka wasaba na
mabunduki na makofia ka bilauri
bidhaa za kujijali tu hali ni shauri
skiza sauti kutoka Kenya mpaka Saudi
Arabia maajabu ya Musa firauni
huyu kijana anafanya vipusa wa towni
wavue mashati ma-panty ni kama wao ni
wenda wazimu na sa skiza hii story vizuri jamaa
rap naifanyia chapaa
na mafans wanaonipenda jamaa
sa hata ukinichukia siezi jali ata
ka wee ni MC stick to the wax
unafaa kuweza kutumia hip hop na other tracks
si kuchukia wadhii juu wanatawala industry
na wee bado uko huko chini
kabla jina yako i-grow jipe miaka ka nane
ka lazma nikutukane ndio ujulikane
hip hop ni culture ya love usisahau
pole kukuambia sikuchukii nakudharau

Chorus 
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)

Verse 2 (Depicto aka Collo)
naskia kuna MCs flani wametutusi
ati ma-lyrics zetu mazee ni za upuzi
na heri sisi hao wamejaa na virusi
kumangana kila mahali kama mambuzi
na ningekimya ningenyamaza singejali
ni venye rap jo nilianza uchangani
ukalimani ukali yani u hali gani
MC, lengo la kuroga ni kupata mali
matamshi yachanganya kama lugha ya panjabi
kukubaliwa na wanati hata na mabarbie wee!
wacha kuji-do msee hatari
tema na mimi nasema lakini tu ni safari

Chorus 
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)

tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)

niaje bro (vipi beste)
niaje siste (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all

niaje bro (vipi beste)
niaje siste (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all

Verse 3
nina tracki nina mistari swahili jangili
mkono wa kushoto ni mic, mbota na bangili
tema na mimi ka una rhymes ka mia mbili
ka sivyo risasi kwa shingo macho na akili
lakini kabla nijaze nafasi ya pili
lazma nirudishe matusi za hawa makafiri
barabara na gari nawacha mkiwa chakari
kazi ni usafiri
nasi maMC wachachari
kabla single yako ipite yangu kwa charti
geuza jina geuza flow geuza trouser na shati
na bado ukitoboa kunigusa ni bahati
naroga na kihindi tena kigujarati yeah
zagablo, zigizow, zigizow,
kutema na mimi lazima utupe mbao
ule jamaa mlidharau sa na-spit ka bunduki
chiki blao chiki chiki blao blao

(Munkiri aka Roba)

hatucheki na wadhii

mafans wetu wamesema ndio

au sio…

au sio

Chorus 
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)

tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)
tuendelee ama tusiendelee (endelea)

niaje bro (vipi beste)
niaje siste (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all

niaje bro (vipi beste)
niaje siste (vipi dada)
tunawacheki (mnatucheki)
we got mad, mad love for y’all

You cannot copy content of this page