Kizo B – Mahela Lyrics

Chorus

Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,
Nisha kusoma ume choka, unataka ku ni hepa
Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,
Nisha kusoma ume choka, unataka ku ni hepa

Verse 1
Nimejikaza kiume nijitume, mtoto akikeli Yule,
Shida nini mami! A-a-argh
Kichuna changu me ni we, tako nitoke me na we, shida nini we!

Nimejikaza jiume nijitume, mtoto akikeli Yule,
Shida nini mami! We-e-e-ee
Kichuna changu me ni we, tako nitoke me na we, shida nini we!
Wacha waseme, maneno yao so?

Chorus
Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,
Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa
Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,
Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa

Verse2
Pole pole, ndio najua, huo ni mwendo,
Pendo langu kwako baibe, halina kipimo,
Tumetoka mbali, natunakwenda mbali, usijali baibe! Baibe-e-e!

Pole pole, ndio mwendo, hawana mapenzi, makapeli ni wengi baibe girl,
So, usiniache mi, penzi langu la kweli,
Unaniumiza, unaposema mi sikupendi,

Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,
Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa
Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,
Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa

(Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,)
(Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa)

Bridge

Sitaki kufa kwa mawazo yangu,nataka kufuata moyo wangu,
Sitaki kufa kwa mawazo yangu,nataka kufuata moyo wangu, (moyo baibe)

(Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,) baibe, baibe usiniache me!
(Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa)

Chorus

Usiniache mi nikose raha, kisa mahela, (baibe penzi langu)
Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa
Usiniache mi nikose raha, kisa mahela, (Usiniache mi nikose raha, kisa mahela)
Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa (baibe baibe)

Usiniache mi nikose raha, kisa mahela,) Usiniache mi nikose raha, kisa mahela
Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa (Nisha kusoma umesha choka, unataka ku ni hepa

Nilisha tuma mpaka Mr.tobby, ukamsho too bad,
Come on Baibe girl I love you!

You cannot copy content of this page