Kismat – Kung’uta miwa Lyrics

INTRO:
Alichukua miwa…..miwa abayo tulinunua tukule hehe (laughs)
Alichukua miwa

CHORUS LYRICS:
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
(eeeeeeeh!)

VERSE 1 LYRICS:
Nawasha kiki, na share na marafiki
Kila siku faraja kimya kimya antidhiki
Nafufua mastone kama family ya Leakey
Herb haidai reherb so sibadiliki
Uko chini niaje huku juu ni kutam
The higher you go the cooler kunabecome
Ni mi nimewasha ndege so iende ikam
Usione macho red ukadhani nimejam
Damn! Permanent smiley face
Nimeroll another blunt- makaliless
Mi ndio chairman, wee ni kitiless
Usikuje offguard yaani kibiritiless

CHORUS LYRICS:
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
(eeeeeeeh!)

VERSE 2 LYRICS:
Verse 2, inadai P3
Puff Puff pass high class degree
Sufuria ibaki empty ndio new decree
Karamu sinia not less than 3
Na siwaaachi
Nachoma anywhere anytime kwa matanga kwenye party
Multiparty
Sherehe kibao kwenye vodka nianze bonga dirty
Utadhani tuko orchestra
Design napuliza kama tarumbeta
Different shapes, different diameter
Genge doping ka ni rap niko better
Teta! Ukitaka leta za kuleta
Namove slow lakini ninakupita
Ita polisi ucheki tukiwakisha
Wako sura kazi lakini wanachekesha (hahaha)

CHORUS LYRICS:
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
Kung’uta miwa ku ku kung’uta miwa
(eeeeeeeh!)

OUTRO:
Yeah!
Bangi bangile
Rangi rangile
Tumewasha kingine…..22! 22!
Kismat kama kawa
Del kush!
Lazma niwashe hii kitu day in day out
Twenty four seven
Masmairo masmairo masmairo masmairo tu
Kimya kimya …Number nane number nane
Tell dem dis now….alafu naskia mpaka nibonge kijamaica Jamaica hivi
Lakini wacha nistick na genge
Kung’uta miwa  Kung’uta miwa
Wee’ kung’uta tu
Yeah yeah, niko nje….tuchekiane next episode

You cannot copy content of this page