Kijani – Utamwambia Aje Lyrics

  Chorus
Utamwambia aje,
Mama, baba, mama,
Utamwambia aje,
Baba, mama, baba

    Verse 1
wahenga kweli walinena asiyeskia la mkuu huvunjika guu,
pia walisema siku za mwizi ni arobaini utajua maana ya kuteseka,
hebu fikiria, umeenda V.C.T kujulia hali yake,
daktari akwambia najuta sana…,

    Chorus
Utamwambia aje,
Mama, baba, mama,
Utamwambia aje,
Baba, mama, baba

    Verse 2
haijalishi wewe nani,
uwe mrefu, mkubwa,mdogo, mweupe, mweusi, kabila,
umetoka nchi gani haijalish,
haibagui miaka, uwe tajiri au maskini
utafanya nini ukijua uko na ukimwi,
iiiii,

    Chorus
Utamwambia aje,
Mama, baba, mama,
Utamwambia aje,
Baba, mama, baba

    Bridge
utaanza aje,
kuambia wazazi ukona ukimwi,
utaanza aje,
kuambia wazazi uko na ukimwi

haha hamba haha hamba leiye leiye loiye
haha hamba haha hamba leiye leiye loiye

    Chorus
Utamwambia aje,
Mama, baba, mama,
Utamwambia aje,
Baba, mama, baba

You cannot copy content of this page