Kidum – Kichuna Lyrics

Verse 1
nakuomba mpenzi uniskize
tafadhali baby tuliza moyo
kwa kweli niko wako
hiyo usiwe na shaka
wewe kaa ukitabasamu
mara tu ukiniona
penzi letu halina kasoro
mimi na wee ‘tapendana kiroho
nakusihi
tuliza moyo

Chorus
sherekea, furahia
penzi letu, baby
cheza, imba
mpenzi wangu, kichuna changu

sherekea, furahia
penzi letu, baby
cheza, imba
mpenzi wangu, kichuna changu

Verse 2
niskize baby kwa makini
kwa kweli mimi nimekutamani
kilichoko mpenzi
wewe nipe nafasi
nikupe penzi hujawahi pewa
nikuguse mahali hujawahi guswa
kwa maana
penzi langu halina doa
kwa hivyo sasa tufunge ndoa
tuishi pamoja
milele

Chorus
sherekea, furahia
penzi letu, baby
cheza, imba
mpenzi wangu, kichuna changu

sherekea, furahia
penzi letu, baby
cheza, imba
mpenzi wangu, kichuna changu

Verse 3
oh mpenzi wangu
skiza wito wangu siwezi
kuhisi bila wewe
oh kichuna changu
songa karibu nami
nikushike, nikubusu
nikushike shike shike shike

penzi letu halina kasoro
kwa hivyo sasa tufunge ndoa
tuishi pamoja
milele baby

Chorus
sherekea, furahia
penzi letu, baby
cheza, imba
mpenzi wangu, kichuna changu

sherekea, furahia
penzi letu, baby
cheza, imba
mpenzi wangu, kichuna changu

You cannot copy content of this page