Kenzo – Zam Zam Lyrics

Intro 
Kenzo 
Ogopa DJS 
Matata hii 

Verse 1 
Maisha ya upekee
Jamani mi sitaki 
Nimeaamua kuwacha
Maisha ya u-bachelor
Niko katika 
Hali ya kutafuta
Msichana mmoja 
Mrembo ni eeh 

Chorus 
kama wewe ni Zam zam 
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam 
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe

kama wewe
kama wewe

Verse 2
nimesema na wengi 
nimejitupa na wengi 
nimehangaika sana
nikitafuta mchumba
wa kunitunza
anizalie mapacha
ninapotokea kazini 
kuna wa kusema nami 
nikikasirika
anifurahisha 
msichana mmoja 
mrembo eeh 

Chorus 
kama wewe ni Zam zam 
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam 
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe

kama wewe
kama wewe

Verse 3
nimeamua
Nitamtafuta
Sitachoka
Mpaka mi nimpate

nimeamua
Nitamtafuta
Sitachoka
Mpaka mi nimpate

nimeamua
Nitamtafuta
Sitachoka
Mpaka mi nimpate

nimeamua
Nitamtafuta
Sitachoka
Mpaka mi nimpate

Chorus 
kama wewe ni Zam zam 
kama wewe ni eeh
kama wewe ni Zam zam 
kama wewe ni eeh
kama wewe
kama wewe

kama wewe
kama wewe

You cannot copy content of this page