Kenrezy – Kura burndem Lyrics


CHORUS LYRICS:
Vitu huyu chali anadu ni za ajabu
madem wanadu vitu za ajabu
serikali yetu ni ya ajabuuuu
Machali wana-mistreat madem… ni ma-burndem
madem wanatuchezea ma-game…ni ma-burndem
gover ina ma-excuse lame… ni ma-burndem
ni ma-burndem gjyeah
usiwapigie kura burndem

VERSE 1 LYRICS:
Alikuwa tu number one number mbili du
christian family bila church taboo
akatambulishwa mpaka kwa grand pa babu
respect same script ana adabu
afta kushoot that ‘P’ akachoka na dame[playa]
akaanza kucheza soccer na dame[heiya]
akaacha kucheza boka na dame
anataka game ina wase wengi kwa team
siku moja akafika akaspot msupa
mslim nyama kiasi si sana mfupa
akam-please call me ki-safaricom
akakumbuka ana key hana hurry ya home
akampatia ngale akampatia ndom
akampa beer sare akam-odea tot
dame akablow hiyo job sare ungedhani ni mboch
boy aka pop white barle ungedhani ni snow
kumbe hakuknow, huyo dame ndio alikuwa p.o.k.o
wa hiyo club[gani]
ukiomba hunyimwi, akaanza kukonda akisuffer ukimwi [he]
wacha nikusho kitu caha ajabu
alipokuwa anadu vitu za ajabu
mabeshte zake walijua ni za ajabu
wakamficha, hiyo tunaita…

CHORUS LYRICS:
Vitu huyu chali anadu ni za ajabu
madem wanadu vitu za ajabu
serikali yetu ni ya ajabuuuu
Machali wana-mistreat madem… ni ma-burndem
madem wanatuchezea ma-game…ni ma-burndem
gover ina ma-excuse lame… ni ma-burndem
ni ma-burndem gjyeah
usiwapigie kura burndem

VERSE 2 LYRICS:
Dame aka-mourn 1 month alafu aka-recover [blander]
magazine zikamseti kwa cover [blander]
akaanza tu kucheki ni kama
anataka tu ma-celeb kina Rezy na Slahver
after ku-make that plan akaanza magame [twitter]
na facebook anajiita
Razy ana-wife, najua
najua sindio
na kwanza huoni vile ni mhandy kwa video
kufika V.I.P akashtuka
gauge zote kwa mwili zikashuka
juu ma-celeb ndani wengi kibao
asubuhi hajui ata nani alikuta
unrelaxed ka study hajalipa fee malipo
ni ka movie na ye si Bruce Lee the hero
ako positive, toka VCT na mbio
mabeshte zake wakamshow…”eeh hii ndio hiyo”

CHORUS LYRICS:
Vitu huyu chali anadu ni za ajabu
madem wanadu vitu za ajabu
serikali yetu ni ya ajabuuuu
Machali wana-mistreat madem… ni ma-burndem
madem wanatuchezea ma-game…ni ma-burndem
gover ina ma-excuse lame… ni ma-burndem
ni ma-burndem gjyeah
usiwapigie kura burndem

VERSE 3 LYRICS:
[kuna], high cost of living
tribalism na corruption kichizi
bei ya mafuta haishux
bei ya unga haishux
usiwapigie kura burndem
hiyo tax hawalipi, hawajali juu ya mziki
mshahara hawapandishi
amani bado ni tricky
usiwapigie kura burndem
serikali hijali juu ya vijana
ni ma burndem
serikali hijengi mabarabara
ni ma burndem
serikali CDF inamanga
ni ma burndem
usiwapigie kura burndem

CHORUS LYRICS:
Vitu huyu chali anadu ni za ajabu
madem wanadu vitu za ajabu
serikali yetu ni ya ajabuuuu
Machali wana-mistreat madem… ni ma-burndem
madem wanatuchezea ma-game…ni ma-burndem
gover ina ma-excuse lame… ni ma-burndem
ni ma-burndem gjyeah
usiwapigie kura burndem

You cannot copy content of this page