Kenrazy, V6 & Shakilla – Nani Lyrics


Intro

Gjeah gjyeah! Ha ha JOMINO ofkos ausio GHipUka!

Album one imedie ngoja album 2, level one nimemada saa ni level 2,

Kwanza namshukuru sana Mwikulu, E-Sir hange have kudie but ni Mungu tu,

Gjyeah THE LEGEND LIVES ON AU SIO!!

But wacha tuimalize na moral bana gjyeah, ni nani??

Ni KenRazy Razy ,Shakilla na Vsita,

Chorus

Ukiulizwa ni nani amekam thru vinoma (KEN)

Nani ameleta ngoma (RAZY) X2

Nani ameleta ngoma? Shakilla

Nani ameleta ngoma? Vsita

Nani ameleta ngoma? KenRazy Pewa ngoma gjyeah

Verse 1 (Shakilla)

Mic check one alafu nacheck 2, wakitake one bado tutatake 2,

Si unajua ni nani amekam thru vinoma, GHipUka mzuka yani tushaleta ngoma,

Usishtuke ni sisi nani, so zikishika unajump ruka nani,

Ou la la yani a u wee, we do u wacha mi ntadu me,

Jomino tushaturn tables ukitaka uliza V6 tushaburn cables,

Cheki vile maspeaker zina lipukanga, cheki vile masister wanakatikanga,

Na kaa wee huwasha ama wee hupulizanga kumbuka hizi zetu zimejulikana,

Na kama bado hujasoma lebel, ni KenRazy Shakilla somanga lebel,

Chorus

Ukiulizwa ni nani amekam thru vinoma (KEN)

Nani ameleta ngoma (RAZY) X2

Nani ameleta ngoma? Shakilla

Nani ameleta ngoma? Vsita

Nani ameleta ngoma? KenRazy Pewa ngoma gjyeah

Verse 2 (KenRazy)

Nipe verse uone bila kureharse nikipass kwenye paper kwenye mic na i-hit, hu!

Nipe diss uone bila kuku diss back ngoma zako zote zitakuwa zinamiss, ha!

Ukiskia track ilimadwa mwenye gun ni me, ukiskia one hit wonder huyo jo si me,

Na nikiwa kuwa ready call emergency ,juu track itamadwa thanx to his mergesty,

So ,mi nadiverse nahit na diversity, for the universe all out kaa university,

Naskia kudrain maji, hata wase wastarve, bora pirates wastop wabuy mastuff,

Niko poa but muziq is my betta half, I feel it in the air nasniff naget a puff,

Nawork na Stevo na V6 ndio life tu laugh, ukiulizwa jibu Razy n that’s enuf so…

 

Chorus

Ukiulizwa ni nani amekam thru vinoma (KEN)

Nani ameleta ngoma (RAZY) X2

Nani ameleta ngoma? Shakilla

Nani ameleta ngoma? Vsita

Nani ameleta ngoma? KenRazy Pewa ngoma gjyeah

Verse 3 (V6)

(claps) makofi tena (claps) mm asantesana..

Sijui nianze kaa mikono ziko juu, ama pande zote kaa miguu za dem ziko juu,

Mi ndio sita manzi yako huniita ,supa rappa ,supa singer swit sita,

Nachenga ball mi natinga bila pena, nishaleta boomrock hapa tena,

Kama mchwa nisharuka kichwa , top class of madness haiwezi fichwa,

Raundi hii manze niko so capital ,kiss mia moja kichwa kibofu kaa cannibal,

Hauna max man wee ni zero, on my maximum mi ndio hero ,

Sijui nilizaliwa madhe akicheza drumz ama magava bumper to bumper na ma alarmz,

Ju ya mic mic mi sichekangi na mic ikikam thru ha ha ha ha ha ha ha

Chorus

Gi-RF KENRAZY ndio jina ya album hu ha , kwa kiti seti bumbum,

Thanx to Shakila wat a gwan man , psyke bila taquilla wat a tait man, gje gje,

Mi sitaji wasee kwa outro buy cd ujisome kwa cover na macho,

Ujue ni nani alinisave kupata mashow, nani alifanya mi nifike hapo,

Stevo anajua boy wake ni mkali ,V6 boomrock anacheka ha ha ha,

Somanga lebel ni KenRazy the crazy dude buzy dude huezi niita lazy dude

Shakilla amekubali amesema gje gje, kaa hujawai niskia utasema wa wa wa wa

You cannot copy content of this page