Kenrazy – Ti-Chi Lyrics

Intro 
Yeah, Kenrazy 
Stevo juu ya track na mi chini ya mistari 
Representing 
Jomino Ent. 

T- chi beste sema ti –chi
T- chi beste sema ti –chi
T- chi beste sema ti –chi
Kenrazy atakufundisha yaani ataku ti-chi 

Verse 1
Morning stori huwaga tu salamu 
Sasa unanijibu fi-ti 
Kuna show flani nafaa nifike 
Juu already niko na titki-ti 
Saa hii siku nishaingia kilabu
Nimepata kimanzi 
Kameketi kwa ki-ti 
Nikamwambia niaje 
Ka kawaida ka beau-ty 
Wee ni mwislamu 
Ka kawaida ndio 
Juu ye huenda kwa msiki-ti 
Kabla jo sijabonga
Ashatoa mpango 
Akanishika sha-ti 
Akanipa snogi moja
Mkono ndani ya toja
Huku mi na swea-ti 
Akang’ang’ana 
Hadi akapati 
Mazee akashika hiyo mi-ti 

Chorus 
T- chi beste sema ti –chi
T- chi beste sema ti –chi
T- chi beste sema ti –chi
Kenrazy atakufundisha 
Yaani atakutichi 
Ti-chi ndio mimi nawapa
Buruka kama una mabawa 
Ti-chi ndio mimi nawapa 
Katika na mimi. 

Verse 2
Ngoma saa inabamba
Genge inashika 
Utakatika hata kwa kiti 
Story bado inaendelea
Pesa ziko mingi 
Manoti kama fif-ty 
Story ya kilabu 
Pesa utarusha
Juu already kuna ma-securi-ty 
Nishaagizia manzi 
Vitu ka Amarula
Masoda na hate-ti
Akaniambia 
Kenrazy mazee unanibamba
Nishike kwa mati-ti 
Nika-relax awake 
Mpaka achizike 
Dakika kama thir-ty 
Kumbe sikujua 
Nilikuwa natupa bahati
Weider flani akakam kwenye club
Aka-get nimekaa kwa kaba-ti 
Huku dame yuko job 
Na ule msee huko down 
Ka amepiga mago-ti 
Chali akanicheki 
Manzi akamcheki
Huku ni jo sinyi-ti 
akasonga
Amekuja sura
Akaniset maviji-ti
akasonga
Amekuja sura
Akaniset maviji-ti

Chorus 

T- chi beste sema ti –chi
T- chi beste sema ti –chi
T- chi beste sema ti –chi
Kenrazy atakufundisha 
Yaani atakutichi 
Ti-chi ndio mimi nawapa
Buruka kama una mabawa 
Ti-chi ndio mimi nawapa 
Katika na mimi. 

Verse 3
Story ya ‘ti’ imekatika
Sa nikisema kitu 
Unaniambia tu ‘chi’ 
Ule chali alikuwa mkikuyu 
Alikuwa anaitwa Mwachi-chi 
Na huyo dame nilikuwa minepata 
Alikuwa haki anaitwa chi-chi 
Ndio hii message ya ngoma
Basi ni ukweli 
Mimi siwafi-chi
Ukimada manzi 
Bora ni over 18 
Mrarue tu hivo u-chi 
Mi huwaga mwandishi 
Mini huwaga msanii
Ngoma imeiva si mbi-chi
Na imeiva na inabamba
Na inaitwa tu ti-chi
Na imeiva na inabamba
Na inaitwa tu ti-chi 

Chorus 
T- chi beste sema ti –chi
T- chi beste sema ti –chi
T- chi beste sema ti –chi
Kenrazy atakufundisha 
Yaani atakutichi 
Ti-chi ndio mimi nawapa
Buruka kama una mabawa 
Ti-chi ndio mimi nawapa 
Katika na mimi. 

You cannot copy content of this page