Kenrazy ft. V6 – Ashu kwa Ashu Lyrics


Intro (Kenrazy)
Inaitwanga Jomino
but of course
ghipuka
v sita
haiya, nani? Kenrazy

Chorus
ashu kwa ashu
zinatiririka 
ashu kwa ashu
ndio maana zimekubalika
ashu kwa ashu
zimetiririka na
zimekubalika na
basi twende

ashu kwa ashu
ashu kwa ashu…
ikiwabamba 
basi wewe twende 
twende tuko juu

Verse 1 (V6)
e-yo mziki mziki lazima uko down
non stop non stop
eh ni vile ni tamu
na hapa hakuna ata pombe haramu
twashikanga kisha warembo watatu wakamu
hii ngoma ni bomba
wee songa yasonga
wee songa ni sita
wee gonga yagonga
tuko cha mbele tuko cha mbele wasee
Nairobi Kampala Bongo masela wasee
let’s go let’s go na Mola
nam-show supuu come tu kitu poa nam-show
ka ni mfupi mkia ni refu
ka ni mfupi ni mi ama Razy
na supuu akijidai mjanja
salimia mia moja mimi bado napata
na kama hiyo ndio alikuwa anafuata
miti ilikuwa ndani manze vile alitaka

Chorus (Kenrazy)
ashu kwa ashu
zinatiririka 
ashu kwa ashu
ndio maana zimekubalika
ashu kwa ashu
zimetiririka na
zimekubalika na
basi twende

ashu kwa ashu
ashu kwa ashu…
ikiwabamba 
basi wewe twende 
twende tuko juu

Verse 2 (Kenrazy)
nina morale lakini sija
kwachu mbachu
nime-relax tu na 
machupa tu
kwa dancefloor ni ku
banjuka tu
amka hapo kwa bed ati
Razy nikute tu
sa nimelipuka
na sa juu jina ghipuka imeshashika
na imeiva
level 1 nimemada sa mi ninaenda level 2
asiyeskia la mkuu usim-beg askize 
wee mwache juu lazma ata
vunjika guu
aliye juu usimngoje ashuke
wee panda ngazi upepee huko tuu
ka ni out of two
ninge-get tu ka two
but ni ten
nipe ashu kwa ashu
mi ndio nafanya unahepanga kwenu
unaingia club ata ka uko na ashu kwa shoe

Chorus
ashu kwa ashu
zinatiririka 
ashu kwa ashu
ndio maana zimekubalika
ashu kwa ashu
zimetiririka na
zimekubalika na
basi twende

ashu kwa ashu
ashu kwa ashu…
ikiwabamba 
basi wewe twende 
twende tuko juu

Verse 3 
nimejitahidi mi sitoki
kama kawaida nikiingia mi sitoki
ngoja ngoja sana aki hapa hatutoki
bado nazidi kuchacha kama bushoke
ma-haters wanapata nothing out of ten na si
ashu kwa ashu
juu ngoma zetu zote 
ziko juu
ni Kenrazy na V sita 
na ni ghipuka
sa usistuke tu
mi ni bad man Sita here bad man Razy
takin over for sure mziki crazy
gal a dem know we fresh for real
pop dem champagne we’ll pay you the bill
gimme the Popov gimme the Johnny Walker gimme tequila
take a gal do you thing lemme show you do
I don play with a chic in da club
stop, man
kizee unachizi

Chorus
ashu kwa ashu
zinatiririka 
ashu kwa ashu
ndio maana zimekubalika
ashu kwa ashu
zimetiririka na
zimekubalika na
basi twende

ashu kwa ashu
ashu kwa ashu…
ikiwabamba 
basi wewe twende 
twende tuko juu

ashu kwa ashu
zinatiririka 
ashu kwa ashu
ndio maana zimekubalika
ashu kwa ashu
zimetiririka na
zimekubalika na
basi twende

ashu kwa ashu
ashu kwa ashu…
ikiwabamba 
basi wewe twende 
twende tuko juu

You cannot copy content of this page