Kendi – Wasiwasi Lyrics

Chorus
ananipa wasiwasi juu yuko mbali nami
ananipa mawazo juu mimi simwelewi
haniambii
I love you hii si
nia yake
kwangu kali

Verse 1
ishara matendo yake yaonyesha wazi anitaka
maneno matamu aniambia ya kuwa napendeza
ukweli ni kuwa nampenda lakini naogopa
yote namwachia Mola atatuamulia

Chorus
ananipa wasiwasi juu yuko mbali nami
ananipa mawazo juu mimi simwelewi
haniambii
I love you hii si
nia yake
kwangu kali

Verse 2
nakuimbia hii wimbo ili ujue mi ni wako
natamani niwe karibu yako
angalau moyo wangu ufurahi
na sijui kosa langu ni gani
nakuomba niondolee baridi

Chorus
ananipa wasiwasi juu yuko mbali nami
ananipa mawazo juu mimi simwelewi
haniambii
I love you Issy
nia yake
kwangu kali

Verse 3
ishara matendo yake yaonyesha wazi anitaka
maneno matamu aniambia ya kuwa napendeza
ukweli ni kuwa nampenda lakini naogopa
yote namwachia Mola atatuamulia

Chorus
ananipa wasiwasi juu yuko mbali nami
ananipa mawazo juu mimi simwelewi
haniambii
I love you hii si
nia yake
kwangu kali

You cannot copy content of this page