Kelele Takatifu feat Holy Dave – Ni Msoh Lyrics

Kelele Takatifu feat Holy Dave – Ni Msoh Lyrics

CHORUS LYRICS:
Ni Msoh, Ni Msoh, Ni Msoh
ndio maana na Msifu like so like so…

VERSE 1 LYRICS:
Mwenye na-serve ni msoh, wacha nikushow
hizi ni nguo tunaenda Jevanjee
Ye Ali-opt kutembea juu ya maji
harusi kwa party, wine juu ya maji
madam ka mguu za mavazi uponyaji
kupanda juu si ni ndege ama ngazi
Yeye hizo hakuhitaji, Aka-fast
siku ten plus thirty, sheto akatry kumtempt lakini wapi
fish mbili mkate tano, na walishiba wase elfu tano
ni Msoh, mi Humshow, ero-kamano
through Yeye kila kitu ina uwezekano
Alidedi ilikuwa tragic, Akafufuka na si magic
yani Akasulubishwa Akadedi juu ya tree
day three, he is alive hauskii

CHORUS LYRICS:
Ni Msoh, Ni Msoh, Ni Msoh
ndio maana na Msifu like so like so…

VERSE 2 LYRICS:
Mwenye na-serve ni Msoh, wacha nikushow
God Ana-sence of humor, cheki hipopotomus
najua Anatupenda but, ingekuwa one of us
miaka 33 bila scandle ama mpango wa kando
si ni wa-less, Ye ni Msoh
Kwake jua ni ka candle
Alishow dhambi RIP, Alikufia team, now I’m free
ni Msoh, son of a King, now I’m free
ni Msoh, mi na Ye mpaka destiny
most def si unajua tu ni high def
confidence, got the holy spirit on my shoulder
what’s up, what it is, what it do?
Holy Dave is the name, rap is the game

CHORUS LYRICS:
Ni Msoh, Ni Msoh, Ni Msoh
ndio maana na Msifu like so like so…

VERSE 3 LYRICS:
Mwenye na-serve ni Msoh, wacha nikushow
nitakuproovia Huyu Mse ni Msoh
extra-ordinary kuliko Harry Potter
Anajua mingi kuliko ma-reporter
nikidunda Ye huniokota, nikisota Yuunichota
nilikuwa nimepotokwa na saa hii nimeokoka
by the way, mi Humkosea
nikimwambia pole basi Ye hunigotea
ni Msoh, sikuseti, Anafanya vipofu wasome gazeti
baraka Zake ni pata pokea
za sheito ni pata potea
seek you shall find ukipata ongea
ni Msoh, uliza Gedion
soldiers 300 walifight kama million

CHORUS LYRICS:
Ni Msoh, Ni Msoh, Ni Msoh
ndio maana na Msifu like so like so…
sheito anadai kujichocha so,
Ni Msoh, Ni Msoh, Ni Msoh
ndio maana na Msifu like so like so…

You cannot copy content of this page