Kantai – Jinga Hii Lyrics

Intro
Haiyaye
vijana wana bahati mazee
mashorty mazee hii ni githaa yenu yani unajua
hizo mathayo mazee nimewaza kuziamsha
yani tuweze kuziangalia kwani niaje
hii ni G in the house mzeiya
na hii ni real

Verse 1
vako yako ni ku-chill
yangu kusaka mali
yako kusota chap
na mi kuhepa mbali
hakuna security mob kwa hii industry yetu
ganji ni ya producers na ma-radio stations
tunasakanya barabarani kibandani
huko nyumbani pirating wimbo kali
kama Pulse wana nyege waseme
nawapa CD kinyuma na kimbele
oya, this time naamsha bump
kama Kobe 360 nina-dunk
ku-suffocate haters
no respirators
kufinya shorty kusema see you later
ka ni matha anapta dharau na-serve
na-serve Nairobi Kampala na Dar
huku ni shida ni viazi
councillor na-distribute dash na mnazi

Chorus
Ok, naku-slap nikisema jinga hii
ka hunipendi kimbia tena sana jinga hii
huu ni shorty wangu wachana naye jinga hii
mathayo barley na makali jinga hii

Ok, naku-slap nikisema jinga hii
ka hunipendi kimbia tena sana jinga hii
huu ni shorty wangu wachana naye jinga hii
mathayo barley na mangale jinga hii

Verse 2
kujam nimejam kama boy wa Jahmu
ku-ride nime-ride kama boy wa campu
kuchapa nimechapa kama boy wa Patch
ku-duck nime-duck kama boy wa Starch
kusanya nimesanya overnight Pango
rescue ni moja karao Statoe
Boma na Quabbz ume-choke Saint Gee
regulator niko tight kwa tight G
naendelesha vako na kuwika samahani
samahani summer Playboy bunnies
wengine wanakinda mwili zao for the monies
wengine wameokoka lakini tabia funny
wengine ni mabeste sa juu nimepenya
wengine wanapenya na shorty nimependa 
Kantada 
nafanya hater aninoki
ameze mate juu spit zake hazitoki
au sio

Chorus
Ok, naku-slap nikisema jinga hii
ka hunipendi kimbia tena sana jinga hii
huu ni shorty wangu wachana naye jinga hii
mathayo barley na makali jinga hii

Ok, naku-slap nikisema jinga hii
ka hunipendi kimbia tena sana jinga hii

Verse 3
Siri tatu bia tatu na kambachu
kama club haitacheza ni matatu
wanasema Kantada anapenda vita
hiyo ni vako sikuskuma ngumi sita
hiyo ni polite na-defend tu my rights
ni ngumi tisa from left to right
na slave daily ndio niweze lipa studio
na-mess daily wakiharakisha video
moss moss ka shorty wa R&B
ana-need a man, naye ni G
nimekimbisha wimbo mingi hamzipati
kidogo airplay ni kama samawati
kunichukia ni kunipenda tena sana
na kukithoka mi nahama tu Uganda

Chorus
Ok, naku-slap nikisema jinga hii
ka hunipendi kimbia tena sana jinga hii
huu ni shorty wangu wachana naye jinga hii
mathayo barley na mangale jinga hii

Ok, naku-slap nikisema jinga hii
ka hunipendi kimbia tena sana jinga hii
huu ni shorty wangu wachana naye jinga hii
mathayo barley na mangale jinga hii

Outro
cheki beste wangu Bamboo mi hum-show jinga hii
pia Prezzo CMB mi humshow jinga hii
ata shorty wangu Brenda mi hum-show jinga hii
vitu shorty mi hum-show jinga hii
Pavelee na JOB mi huwa-show jinga hii
Tatuu walikataa o**y jinga hii
Limit, producer wangu jinga hii
dole ya kati naku-show jinga hii

You cannot copy content of this page