Kanjii, Juliani, Wenyeji, Wahu, Roba of Kalamashaka, and Lyn – Mteja Lyrics

Kanjii, Juliani, Wenyeji, Wahu, Roba of Kalamashaka, and Lyn – Mteja Lyrics


Chorus

kajaribu kupiga simu
ikawa ni mteja
iko busy
jaribu later
later, later
later, later
later, later
later, later

Verse 1
sisemi uliiba but
ntajuaje hukuiba bana
camera ziki-roll wanabonga mob
ziki-switch off
camera hawana

anapokuwa mteja
si hiyo ni ku-ignore tu
watu wangu
hisia yangu
ni wananchi washikane tupate hii ukweli
kwa media bill boss na pia kwenye telly

Chorus
kajaribu kupiga simu
ikawa ni mteja
iko busy
jaribu later

kajaribu kupiga simu
ikawa ni mteja
iko busy
jaribu later
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)

Verse 2
nauliza bwana mayor
mbona stima mbona maji hupotea
ma-MP na ushuru kupokea
IDP wanangojea
waongozi hawapatikani
wako pande gani

miscommunication
hiyo barabara
ma-realization
ilituchanganya
kibao complication
kibao drama
kibao information
kibao power

Chorus
kajaribu kupiga simu
ikawa ni mteja
iko busy
jaribu later

kajaribu kupiga simu
ikawa ni mteja
iko busy
jaribu later
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)

Verse 3
I guess I’ll try and call you later
sababu leo uko mteja
I guess I’ll try and call you later
sababu leo uko mteja
I guess I’ll try and call you later
sababu leo uko mteja
I guess I’ll try and call you later
sababu leo-o sababu-o-o

Chorus
kajaribu kupiga simu(no)
ikawa ni mteja(no)
iko busy
jaribu later(no)

kajaribu kupiga simu(no)
ikawa ni mteja(no)
iko busy
jaribu later
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)
later, later(no, piga baadaye)

You cannot copy content of this page