Kakai Kilonzo & Les Kilimambogo Brothers – Mama Sofi Lyrics

nimesikitika sana
juu ya mpenzi wangu Mama Sofi eh
nimesikitika sana
juu ya mpenzi wangu Mama Sofi eh

nilikuwa kazini
mbali na yeye alikuwa kazini oh
nilikuwa kazini
mbali na yeye alikuwa kazini oh

niliporudi nyumbani
watoto wangu walianza maswali oh
niliporudi nyumbani
watoto wangu walianza maswali oh

huyu ni baba gani
na siye yule baba wa Simaki eh
huyu ni baba gani
na siye yule baba wa Simaki eh

tulipoa kidogo
wale watoto wakaanza story eh
tulipoa kidogo
wale watoto wakaanza story eh

baba wa Maziwa
alikuja akaacha ripoti oh
baba wa Maziwa
alikuja akaacha ripoti eh

akaleta mkate
akasema atarudi kesho eh
akaleta mkate
akasema atarudi kesho eh

nimekugundua
nilipokwenda ulipata bwana mwingine oh
nimekugundua
nilipokwenda ulipata bwana mwingine oh

kumbe nyumba yangu
umeifanya soko ya wanaume wee
kumbe nyumba yangu
umeifanya soko ya wanaume wee

na love ya magendo
mimi siwezi afadhali tuwachane wee
na love ya magendo
mimi siwezi afadhali tuwachane wee

jirekebishe Mama Sofi wee
jirekebishe Mama Sofi wee
watoto wako watakosa baba

mabwana wengi Mama Sofi wee
mabwana wengi Mama Sofi wee
mwisho watakuja wakutupe wote

love ya magendo Mama Sofi wee
love ya magendo Mama Sofi wee
hapana pale utapoteza bwana

You cannot copy content of this page