Kaka Kamp – Kawaida ya Chali Lyrics

Intro
OK cheki 
ka wee ni manzi msawa na una chali
tafadhali msalimie
akikuuliza kwa nini umefurahi
mwambie ni juu yangu haha

Verse 1
nishakucheki kwa mbali 
hebu songa karibu
waitwa nani
eti Wairimu
kutoka wapi
mtaa wa Ngetu
sehemu gani
Lang’ata jiji kuu
kawaida ya chali
ni kuhanda manzi
na mi nachofanya 
ni kufuata desturi
ya kukutana
na kujuana
ndio kwa maana nauliza
haya maswali

Chorus
waitwa nani
watoka wapi
swala la muhimu ni kama una chali
juu singependa 
kuingilia
mawasiliano kati wee na mchumba
ahaa
(kawaida ya chali)

Verse 2
utakunywa soda kweli
juu ushanikunywa
nahisi kama mgongo watafunwa na mchwa (ahaa)
napenda nachoona
hizo sifa kwako mami
bado hazijakoma
ningependa kukueleza
unavyonipendeza
tupoe kwenye meza
kabla tufike keja
na tukifika
tutacheza ngoma
hii ni siku ya kwanza
hakuna ujanja

Chorus
waitwa nani
watoka wapi
swala la muhimu ni kama una chali
juu singependa 
kuingilia
mawasiliano kati wee na mchumba

waitwa nani
watoka wapi
swala la muhimu ni kama una chali
juu singependa 
kuingilia
mawasiliano kati wee na mchumba
ahaa
(shorty)

Verse 3
wakifuata ma-white girl
Christina Aguilera
ntakufuata wee brown skin
Italia Masiero
wacha niku-nickname
baby nikuite mama
cause you can tuck me in
anytime you wanna
eti ka na-misbehave
baby, usini-blame
mi ni product ya mboch
hakunifunza manners
ukiona Alahola
mwambie Vibe ashahala
juu manze ameora 
makala ka nikora
lakini back to business
back to you
mi narusha lugha yote
bado unajifanya mgumu
usiwe hivyo jo
nipe namba zako
nipe za landline
na pia za nangos

Mami njoo nami
njoo nami, njoo nami
Mami njoo nami
njoo nami, njoo nami

Chorus
waitwa nani
watoka wapi
swala la muhimu ni kama una chali
juu singependa 
kuingilia
mawasiliano kati wee na mchumba
ahaa
(kawaida ya chali)

You cannot copy content of this page