Kajairo – Snake Lyrics


Intro

lazima mtu achaguliwe vizuri
haiya
mabibi wote out there
mimi hapa
lakini lazima niwachague mkipanga line basi

Chorus
hiyo thutha ni ya mjaka
waona vile yamwagika
hiyo sura ni ya mluhya
waona venye anatisha
hiyo mwili ni ya mkamba
waona venye anaranda
hiyo mwili ni ya ocha
waona rangi zagongana

Verse 1
sipendi mkamba ana kamote
nguo ntafua sindiria panty
siwezi tembea K2 Carni
niko tu… kwa nyumba na mtoi
ngita, ngita
ukiosa vinya tu anakataa
ngita, ngita
nikicheza kuna baba anamkatia

Chorus
hizo miguu ni za mkyuk now
hazina nyama na mapaja
miguu magoti zimestunya
lazima awe ni mluhya
hicho kisogo kimechongwa
usiwai kunyolewa
waona vile yuakanyaga
lazima viatu wameomba

ni mweusi na ana mapengo…
Kalenjin

Verse 2
siwezi mhepa amenikuta
hapendi hepi ngoma ikichuna
maji haki imeshika trouser
nilijimama na kijibaba
wamenihanda na pingu nyuma
ebu onyesha ka-helicopter
wapi kipande, ID na diaper
body language saying mkwanja
Gitau, Gitau
nikisema baby boo anakataa
Gitau, Gitau
mtasema hiyo mbele kwenye podium

Chorus
hiyo thutha ni ya mjaka
waona vile yamwagika
hiyo sura ni ya mluhya
waona venye anatisha
hiyo mwili ni ya mkamba
waona venye anaranda
hiyo mwili ni ya ocha
waona rangi zagongana

You cannot copy content of this page