Kaberere – Kiburi Lyrics

VERSE 1 LYRICS:

Nakumbuka kesha nilizoenda Baba
Nilikuomba Mungu teletele
nikikupa mahitaji yangu yaliyokuwa moyoni mwangu
Karura pia nimetembea nakukupa shida zangu Baba
zote umetimiza wa leo
mbona moyo wangu umeguza wema wako Baba
Uliyoniangazia kama sina kitu

CHORUS LYRICS:

Sikua na kitu kabla nikujue
mbona sasa umenibariki kiburi changu
Sikua na kitu kabla nikujue
mbona sasa umenibariki kiburi changu

VERSE 2 LYRICS:

Sadaka ibada nikiwa sitoi
maswali yakaanza kujaa kichwani
eti mbona najisumbua na wewe
ikawa nimelegea kiimani
na kutafuta kwa kutorokea
dunia mkono wazi ukanipoteza
natafuta mashimoni nijifiche
lakini ukanifikia na kunirudisha
sasa nimejipata
na kuelewe hakuna kinacholinganishwa na Wema Wako Baba yangu

CHORUS LYRICS:

Sikua na kitu kabla nikujue
mbona sasa umenibariki kiburi changu
Sikua na kitu kabla nikujue
mbona sasa umenibariki kiburi changu

Sikua na kitu kabla nikujue
mbona sasa umenibariki kiburi changu
Sikua na kitu kabla nikujue
mbona sasa umenibariki kiburi changu

You cannot copy content of this page