K-South – The Rhythm Lyrics

Intro
yea
k south material straight from the left side
yea yea kubi bamboo two thousand and three this is how we do

Verse 1
ma-rapper nawacharaza mpaka wanaparara 
kama sahara na vumbi ya masai mara
nadara dame mara kadhaa baada ya saa
nakaa masaa mwanzo biashara balaa
wanapenda sana mara na mitura 
ingawa mimi huwanga nahara
ongeza kidogo chips na baridi mmoja
iliniwe imara kama simba marara
na moshi mbili za kiria
huku nikijikiza kujinyima kikwazo
nikama kumkataza msichana masara
mpaka amenishtaka kwa kesi ya mahakama
koti masharti na ngua kadha wakadha ha
ninalia i am the numba one champion
like chameleon na jeans baggey ya 

Chorus
are you ready to get down tonight 
are you really gonna hit down 
are you ready for the rhythm
oh yea the rhythm
oh we gonna give them

Verse 2
skizeni kitu hiki kama hii muziki
lakini si ridhiki
na mambo yanusu kwa nusu kama kwa pikipiki
hiki ni kitu cheeky okatch biggy biggy
sindio giggy giddy freaky deaky hiki ndiki
rap ambayo haina miguu kam hicky hicky
hee hee cheeky hee cheeky hee
ni makarao ama raia wanalindwa
hii ni ujinga na ukihonga unabebwa na mahindra
si ati naringa officer oringo lakini si lazima usinishike shingo
unanigwara gwara ndio tao mi hutemebea kati ya barabara
staki hasara hasara kula huu fika nyumbani unaharahara
mi sidame wako jo unidaradara
mi nikicheki G3 mihuhepa hawa wasee hupata chai ka ketepa
naunashindwa mbona jo hajanenepa
akishakutega unashikwa mabega
umetoka wapi? unaenda wapi? unafanya wapi? na pesa iko wapi?
umetoka wapi? unaenda wapi? unafanya wapi? na pesa iko wapi?

Chorus
are you ready to get down tonight 
are you really gonna hit down 
are you ready for the rhythm
oh yea the rhythm
oh we gonna give them

Verse 3
achikiri chikiri aah bagea
bamboo i like wearing na jeans baggyia
niache siasa kama Musalia
Mudavadi ama nikiwa mekanika
nitatengeneza gari za kina macharia 
pia tu wahaindi wahindi kadhalika
akina Singh pia Patel Chandiria
peleka watoto wakasome Arya
girls ama boys siku hizi ni saria
peleka wazimu wakasome Matharia
nimekosa rhymes zingine paftaripataria kwenda

skiza hii kwa taxi badala ya Maxi Priest
ukiwa mbachi jaza taxi mpaka unapitishwa
fungua madirisha busy ushanishika ningapi unalipisha 
dame anishikashika mashtimu hazijashuka zangu zishafyatuka
yaani zimeraruka kumbuka niki kupa style kama kamasutra

You cannot copy content of this page