K Soja – Yangu Lyrics

VERSE 1 LYRICS:
Siku yangu huanza hivi
ni 4:30 asubuhi siku huanza na salaa
kumekucha kwa hivyo hakuna haja ya kuendelea kulala
meditation kiasi alafu nashuka juu ya kitanda
Asala Aleikum, niko fiti lakini siku ya leo inanikalia tu ngumu
ata hivyo siwezi anza kuteta juu ni wengi wamejaribu lakini sumu
sioni haja ya kuingia kwa bafu ju ni jana tu nilijimwagia ka shower
wacha niingie base, siasa ni ya ball na kucheki masupa wa-power
kuna mtu ana deni yangu amenikanja wacha basi niingie mkahawa
narudi base naskia kuna jamaa anaropokwa sana
kwa vile sipendi noma naamua kujitoa kabla mashati kushikana
nacheki mbota kumbe masaa huenda hivi bana
ni lunch time nimesota siwezi ingia kwa Paul, nina deni yake ya juzi na jana
kwa hivyo leo nakauka, nikitembea nakutana na beshte yangu siku nyingi hatujaonana

CHORUS LYRICS:
Siku yako huanza vipi? Yangu huanza hivi
siku yako huisha vipi? Yangu huisha hivi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi

VERSE 2 LYRICS:
Ikifika ma-afte kuna shawty ameanza kuni-flash
na mi sina credo so pia mi nam-flash back
nashindwa niokoe jahazi najiambia hapana
ju huyu manzi anakuaga ameninoki na sijawai mpenda
kidogo naona msupa flani huaga amenimada kishenzi
namwendea nasahau chali yake anakuaga jo mshenzi
kabla nitupe ma-vibes washanitoa mbio na jeshi [panting]
ata imefika jioni wacha nipigie Kevo atoe tu mpango ya wikendi
oh, nilikuwa nimesahau kuna bash kwao kwa hivyo klabu hatuendi
nanusa harufu ya pilau ndio inanikaribisha tu ndani
kweli leo inakaa tu itanibamba jo kiplani
nimeshibashiba si ni idhaa tu yakurudi mtaani
kumeingia giza si unajua jo ni ku-risky mtaani
zile madogi za kina Sammy jo zinaanza kumezeshea
ndio huyo mi mbio, nafika kwa gate hakuna mtu wa kunifungulia
naruka fence ju kejani kwa bed ndio tu napumzikia
wacha tu nilale hivi ndio siku yangu imeishia

CHORUS LYRICS:
Siku yako huanza vipi? Yangu huanza hivi
siku yako huisha vipi? Yangu huisha hivi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi
Siku yako huanza vipi? Yangu huanza hivi
siku yako huisha vipi? Yangu huisha hivi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi

VERSE 3 LYRICS:
Siku yangu huanza hivi
ni 4:30 asubuhi siku huanza na salaa
Siku yangu huanza hivi
ni 4:30 asubuhi siku huanza na salaa

CHORUS LYRICS:
Siku yako huanza vipi? Yangu huanza hivi
siku yako huisha vipi? Yangu huisha hivi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi
Siku yako huanza vipi? Yangu huanza hivi
siku yako huisha vipi? Yangu huisha hivi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi
kwanza yangu inakuwa fiti, yako inakuwa vipi

You cannot copy content of this page