Just a band – Maisha Lyrics

Just a band – Maisha Lyrics


Nikiona watu wengi njiani,
nashikwa na hofu najaribu kimbia,
lakini nimewachwa.

Nikitafuta na watu wakiniona,
nawekwa na mimi siwezi kuona,
nishike nani.

Nimejaribu michezo na kupika,
lakini huzuni yanija moyo,
siwezi kukimbia.

Nikijaribu kushikwa na butwaa,
naona miono yakiniweza,
maisha yangu.

Maisha…
(Maisha yangu)
Maisha…

Maisha…
(Maisha yangu)
Maisha…

Nikiona watu wengi njiani, 
nashikwa na hofu najaribu kimbia,
lakini nimewachwa.

Nikitafuta na watu wakiniona,
nawekwa na mimi siwezi kuona,
nishike nani.

Maisha…

You cannot copy content of this page