Juma Tutu – Nakupenda Kama Sukari Lyrics

Juma Tutu – Nakupenda Kama Sukari Lyrics

Chorus
nakupenda kama sukari
nakuambia kweli si siri
ningekuwa mi ni tajiri
ningekununulia gari

nakupenda kama sukari
nakuambia kweli si siri
ningekuwa mi ni tajiri
ningekununulia gari

Verse 1
nakubali mimi ni fakiri
wengi wakufa kama tajiri
marubani na madaktari
na malenga wenye mashairi
wengi waja kwako kisiri
mradi wanitie dosari
ndiye pushe hao ni hatari
wala hawatutakii mazuri

Chorus
nakupenda kama sukari
nakuambia kweli si siri
ningekuwa mi ni tajiri
ningekununulia gari

nakupenda kama sukari
nakuambia kweli si siri
ningekuwa mi ni tajiri
ningekununulia gari

Verse 2
mapenzi wala sio mali
usichoke kula huu ugali
wako wanaokula wali
wanaomba warudishe mali
na kila siku si tukisali
mwishowe tutakula asali
mpenzi wangu wee don’t worry
usisikize za watu story

Chorus
nakupenda kama sukari
nakuambia kweli si siri
ningekuwa mi ni tajiri
ningekununulia gari

nakupenda kama sukari
nakuambia kweli si siri
ningekuwa mi ni tajiri
ningekununulia gari

Verse 3
mapenzi wala sio mali
usichoke kula huu ugali
wako wanaokula wali
wanaomba warudishe mali
na kila siku si tukisali
mwishowe tutakula asali
mpenzi wangu wee don’t worry
usisikize za watu story

Chorus
nakupenda kama sukari
nakuambia kweli si siri
ningekuwa mi ni tajiri
ningekununulia gari

nakupenda kama sukari
nakuambia kweli si siri
ningekuwa mi ni tajiri
ningekununulia gari

You cannot copy content of this page