Juliani – Voter VS Vulture Lyrics

VERSE 1 LYRICS:
kutoka kila corner tunakusanyika
damu ya ukabila na ink ya blue kwa kidole gani thicker
tattoo kwa skin ya nyoka
leo iko kesho si hivyo
same na promises za mjumbe ausio

tofauti ya political parties
bright colour ya mavazi
sisikii manifesto policies
maisha quality

nyororo inashikilia side mirror
uhalifu
bei ya bidhaa juu
ama ni mapato hainiruhusu ku afford kitu

mahindi ilitoka kwa shamba lakini haikufika tumbo ya starving kenyan
walahi tena
wataki kumake change wanataka ku make headlines
cheki forehead ya mwananchi headlines amechoka

CHORUS LYRICS:
Tusibleed ndio wali lead.
(wakati umefika sauti yako kusikikika)
people.power.posibilities
(tutasimama na wala hatuta tishika)
Tusi bleed ndio wa lead
(watoe fake leaders ma vulture tuna waanika)
People power possibilities
(tutasimama lazima tuta hesabika)

VERSE 2 LYRICS:
maji inatake shape ya glassi
expectation ya mwananchi ina determine leadership

ukitaka ka kitu utapata ka kitu
ukitaka ka t-shirt utapata ka t-shirts
ukitaka maisha mazuri
vote wisely

Ink ya blue kwa pinky finger ya informed voter sumu kwa vulture
Presidency ni kama choo
one at a time
hao wanaingia wawili wawili
wanafanya nini ndani?

development wanadragg their feet
then haraka ya kuenda wapi
escort yako ikisimamisha traffic

made it this far
diseases, njaa
haijatumaliza
victorious

People power fukuza vulture
ataki kukimbia pekee yake anatafuta running mate

CHORUS LYRICS:
Tusibleed ndio wali lead.
(wakati umefika sauti yako kusikikika)
people.power.posibilities
(tutasimama na wala hatuta tishika)
Tusi bleed ndio wa lead
(watoe fake leaders ma vulture tuna waanika)
People power possibilities
(tutasimama lazima tuta hesabika)

VERSE 3 LYRICS:
Kama time is money mbona idler mtaani wako broke
umati kwa rally si popularity ya parties ni increased numbers ya

unemployed

wanatubeba ni kama kichwa the only tunayo ni dandruff
take us for a ride ka dance style ya gangnam

SitakuRUDISHA track record yako haija ng’aa ka fyatu fyangu
Wana raha ila, tuko huru Kenya hata na jirongo zenu tunawapa wiper
mmesalia na muda tuna wa rut out

5 yrs ago nilikupa chance
this time around hutapata hata vote of thanks

You cannot copy content of this page